Lovely Gamble Soundtrack 'Hatakama' by Mkazuzu feat Spilla. the track was produced Josh @ Urban Pulse in conjunction with Mzuka label. the video was produced UrbanFilmz a B Magazine production studio. The movie features Steve Kanumba the Great and shot in London
Home
Unlabelled
lovely gamble's soundtrack
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Safi sana shooting nzuri sana mtu wa camera amepatia sana kwenye picha,editing iko poa sana tena sana jamaa katulia anajua anachokifanya,audio production iko tight frequence zote unazisikia,tatizo ni moja tu nililoliona hapa jamaa wa kuchana naona bado kidogo hasa huyo mkazuzu sijui,hana style kabisa ya kughani na mashairi hayakwenda skonga kabisa,mkazuzu man,u need to work on ya style,na vile vile ujifunze kuandika mashairi yaliyokwenda shule.otherwise mmejitahidi
ReplyDeletenice freestyle track, keep it up boys!!
ReplyDeleteMdau
Leicester
Mkazuzu & Spilla, video nzurio sana. Well done.
ReplyDeleteKama mdau wa kwanza hapo juu alivyoshauri; nilikushauri hivyo kuhusu mashairi na flow style yako siku ile uliponipa N97 yako kusikiliza track.
Hii video ukiangalia kwa makini Mkazuzu unaonekana kama hauko serious kwenye mashairi na style (ni vitu viwili tofauti kufurahia fani na kuonekana hauko makini, the latter is not good). Siri ni hii practice, practice, practice, practice, practice and PRACTICE.
Mdau,
UK.
kazi nzuri kijana lakini nadhani uimbaji unaachwa nyuma na beats kama ambavyo wazungu wengi wanadance yaani not being per with the rhythm.
ReplyDeleteRekebisha hapo utaona mabadiliko
Safi dogo komaa, unaweza ukatoka ukasahau Costco na Newbury.
ReplyDeleteBIG UP