Mzee wa Libeneke habari.
nataka niwaonyeshe wachezaji kwanini mchezaji alipwe hela nyingi.
ona sekunde zilizobakia, LL wakiwa nyuma kwa point 2, with 2 seconds za mwisho jamaa anapata point 3 muhimu.
waliita Kobe Bryant Miracles. Ukitaka kujua analipwa ngapi
BOFYA HAPA
mdau wa indiana
Kobe ni NOMA....
ReplyDeleteJamaa ana kipaji cha ajabu. I just watched the video over and over again.
kweli jamaa mkali nimemkubali.
ReplyDeletejamaa kwelini mkali na ndio michael jordan wetu wa sasa ila tatizo ni hiyo jezi ya yanga tu anayovaa ndio kakosea
ReplyDeleteHIVI KAKA MICHUZI KATIKA HAKA KA LIST KA MISHAHARA YA WACHEZA KIKAPU MBONA YULE MTANZANIA WETU SIJAMUNA AU YEYE ANACHEZEA WAPI NA HAYA MAJINA NI YA WAPI
ReplyDeleteMie japokuwa sikuipenda Bulls wakati wa Jodarn ila Kobe hayupo kwenye Ligi ya Jordan Ila All time anaweza kuwa akitoka Jordan ni Kobe.
ReplyDeleteKobe unajuwa NBA sheria za sasahivi ngumu zamani ukikabwa na watatu ni foul wakati wa Jodarn kwa hilo nampa Kobe heshima yake.
Lebron yule kajaliwa Urefu na nguvu jamaa miguvu tu na kujidai kwa wingi kabla game ananza Kudance Kobe ni mtulivu.
NBA
Nyuma 1. Jordan 2. Magic 3 Olojowan 4.Karim 5 Larry Bird
Sasahivi 1. Kobe 2.Wade 3.Carmelo 4.Lebron. 5.Durant au AI. japo anaishia. Lakers Fan Jamal.
Wanaokuja Tunamuombea Hasheem awe kwenye Nafasi kubwa ya Kina Kevin garnet au wa Orlando wanamuita Superman yule. Jamal.
I salute Kobe handsomely... how bout our very own AKA 'Kikwerey'? any clips outthere?
ReplyDeleteKobe ni Noma na Lebron hilo analijuwa. Ukitizama vizuri upande wa kulia chini huku mtamuona Lil wayne karuka kavuwa Kofia kavaa Nyekundu. NBA ubingwa mara hii ni ktk timu hizi Lakers or Denver Celtic Or Cavs ila Cavs inategemea. Kimaro.
ReplyDeleteDUh Jamaa Kama Steven Gerrad au Paul Scholes Dk Sec kubaki Bao. Ila hao watu nimewataja Enzi zao si sasahivi. Lebron kiboko yao Lebron bado mdogo.
ReplyDeleteMimi nilichoona ni HAIER, the chinese white goods giant...ndani ya NBA!!!
ReplyDeleteUNAEMUULIZIA HASHEEM,YY ANAPATA $4MILLION KWA HIO HAYUPO KWENYE TOP 20,HIO LIST NI TOP 20,SIO MBAYA KUANZA NA MSHAHARA WA TSH 5 BILLION KWA MWAKA!
ReplyDeleteShukrani za pekee kwako mdau wa indiana i salute you for this link.
ReplyDeleteSina mengi, all the best
ANAYESEMA KOBE IS BETTER THAN KING JAMES ANA MATATIZO YA AKILI.WATU HUWA WANAANGALIA NI MARA NGAPI ANAPATA HIZO SHOTS LAKINI HAWAANGALII MARA NGAPI ANAKOSA KWA TAARIFA ZENU KOBE ANA LOWEST SHOOTING PERCENTAGE IN 4TH QUERTER UKILINGANISHA NA WACHEZAJI KAMA LEBRON,DE WADE AU MELO KWA HIYO WANAOSEMA KOBE NI CLUNCH SIJUA WANA MAANA GANI...CHEKINI GAME YA JANA KATI YA CLEVELAND NA LAKERS..WHO WAS CLUNCH KOBE AU LEBRON?...NANI ANAFUNGA ZAIDI..KOBE AU LEBRON?...NANI ANA ASSIST ZAIDI..KOBE AU LEBRON?...NANA ANA REBOUND ZAIDI..KOBE AU LEBRON?...NANI ANA BLOCK SHOTS ZAIDI..KOBE AU LEBRON?...NANI YUKO MORE EFFICIENT...KOBE AU LEBRON?...LEO HII UMUWEKE LEBRON NDANI YA LAKERS TEAM NA KOBE NDANI YA CLEVELAND..NI TEAM IPI ITAKUWA BETTER..I GUARANTEE YOU LAKERS WITH LEBRON CAN WIN MORE THAN 70 GAMES IN A SEASON..LEBRON IS A TEAM PLAYERS BUT KOBES IS NOT.....KING JAMES ALL THE WAY NO DISCUSSION ABOUT THAT GUYS...WHAT WAS KOBE DOING AT 25..CLEANING SHAQ SHOES..HAHAHAHA..THE ONLY REASONS KOBE IS GETTING MORE ATTENTIONS IS BECAUSE LAKERS IS THE NUMBER ONE TEAM IN THE WORLD WHEN IT COMES TO FUNS..SO ITS EASY FOR HIM TO WIN ANYTHING WHEN WE HAVE TO VOTE ONLINE..KOBE ERA IS OVER PASS THAT TORCH TO THE CHOOSEN ONE...
ReplyDelete