Baadhi ya watu waliojitokeza katika mkesha wa kuliombea taifa kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar usiku wa kuamkia leo wakipeperusha bendera za taifa na kupiga mayowe baada ya mshale kugota saa sita kamili.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Thanks to all who came forward and prayed for our Nation.

    YES GOD!, PLEASE BLESS TANZANIA AND LET YOUR PEACE SUSTAIN OUR COUNTRY, IN JESUS NAME!

    ReplyDelete
  2. Aliyekuwa anaombwa ni nani?

    I am not kidding, naomba jibu.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  3. Anon wa FRI JAN 01 07:29:00 (US BLOGGER).Aliyekuwa anaombwa ni WEWE KID.(Umefurahi sasa?)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...