Familia ya Alhaji Hussein Nandule inatanga kifo cha Mama Shuwea Nandule kilichotea leo asubuhi katika hospital ya Ibrahim Hajj.
Maandalizi ya mazishi yanafanyika Kinondoni Ada Estate namba 20. Habari ziwafikei ndugu, jamaa na marafiki wote wa familia ya Nandule popote pale walipo.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na
Kwa maelezo zaidi wasiliana na
Hussein Nandule 0713234565,
Khamis Nandule 0712955085,
Maulana 0715477772,
Mohammed Nandule 0713404267
Poleni sana ndugu zangu kwa msiba....Pole sana Muhidini, Hassan Jamila na wote mnaohusika na msiba huu.....FADHILY LONDA
ReplyDeleteINNALILAH WAINAILAH RAJIUN!! NIMEZIPOKEA KWA MSHTUKO SANA TAARIFA ZA MSIBA HUU. SHANGAZI TULIKUPENDA ILA ALLAH S.W AMEKUPENDA ZAIDI. MWENYEZI MUNGU AWAPE MOYO WA SUBIRA NDUGU ZANGU WOTE HASA BINAMU ZANGU JAMILA, OTHMAN,HASSAN, MUHIDIN,ISSACK & NILFA......Sarah - Serengeti
ReplyDeletePoleni sana. Inna lillahi wainnailahi rajiuun. "Sisi sote tometoka kwake na kwake tutarejea".
ReplyDeletepoleni sana tena sana wahusika wote kutoka kila kona ya dunia hasa kwa waliyo mbali.ewe mola wangu mpokee kiumbe chako ulokwisha kukichuku umlaze mahali pema peponi.umtayarishie malazi mema peponi msamehe madhambi yake makubwa na madogo.uwape subra kizazi chake ndugu zake waume na wake na mumewe.mamaake mzazi umpe imani na subra.marehemu tunaye hapa mdogo wake wakiume jina dula ampe naye subra.mdau toronto.
ReplyDeleteInna lillahi wa inna ilaihi raajiuun. Mwenyezi Mungu ampe malazi pema na awape wafiwa subra.
ReplyDeletePoleni sana ndugu zangu,nimesikitika sana na msiba wa mama yetu mpendwa. Mungu awape nguvu, Jamila, Othman , Muhidini, Hassan,Nilfa na Isaka .Poleni sana.Rest In Peace mama Jamila. Emmy Majogo
ReplyDeleteTo Mr Nandule's family,
ReplyDeleteI have just heard of the sad death of your lovely and sweetest mother, wife, Shuwea Nandule and I would like to say how deeply sorry I am.
I cannot tell you how much I feel for you but I know you will realise that it has come to me as a great shock.
We both had a great admiration for Mrs. Nandule and I hope you will find some slight consolation in the knowledge that we are grieving at her loss.
In deepest sympathy.
Yours sincerely,
a lovely family friend,
Agatha A Mshote (Joha)
INNALILAHI WAINNA ILAYHI RAJIUN poleni sana wafiwa M/MUNGU amlaze mahala pema peponi na awape wafiwa subira katika kipindi hiki kigumu
ReplyDeleteINNALILAHI WAINNA ILAYHI RAJIUN poleni sana wafiwa
ReplyDeletenimezipokea taarifa zamsiba kwa mstuko mkubwa sana,mungu awape subira wafiwa wote.ingawa tupo mbali na nyumbani lakini tupo pamoja ktk kuombeleza kifo cha mama yetu mpendwa.sote njia yetu nimoja,tuzidi kumuomba mungu atupe subira tuweze kusahau haraka.maana nipigo kubwa ktk family.
ReplyDeleteAsalam alykum warahamtuLLAH Wabaraktu!
ReplyDeleteI want 2 say 2 my family that i am sorry 4 not being there in in the last days of my mother Shuwea...!
This is Abdulazizi one of you´r sons in Sweden i pray 4 you often mama Shuwea and i ask ALLAH Aza wa jal 2 forgive you and 2 accept you in his ever lasting paradise.
Allahu ma Amiinn!!!!
InshaALLAH one day we will be together again bi ithni LLAH!
One of you´r sons in Sweden.