Hayati Mama Shuwea Nandule


Familia ya Alhaji Hussein Nandule inatanga kifo cha Mama Shuwea Nandule kilichotea leo asubuhi katika hospital ya Ibrahim Hajj.

Maandalizi ya mazishi yanafanyika Kinondoni Ada Estate namba 20. Habari ziwafikei ndugu, jamaa na marafiki wote wa familia ya Nandule popote pale walipo.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na
Hussein Nandule 0713234565,
Khamis Nandule 0712955085,
Maulana 0715477772,
Mohammed Nandule 0713404267

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Poleni sana ndugu zangu kwa msiba....Pole sana Muhidini, Hassan Jamila na wote mnaohusika na msiba huu.....FADHILY LONDA

    ReplyDelete
  2. INNALILAH WAINAILAH RAJIUN!! NIMEZIPOKEA KWA MSHTUKO SANA TAARIFA ZA MSIBA HUU. SHANGAZI TULIKUPENDA ILA ALLAH S.W AMEKUPENDA ZAIDI. MWENYEZI MUNGU AWAPE MOYO WA SUBIRA NDUGU ZANGU WOTE HASA BINAMU ZANGU JAMILA, OTHMAN,HASSAN, MUHIDIN,ISSACK & NILFA......Sarah - Serengeti

    ReplyDelete
  3. Poleni sana. Inna lillahi wainnailahi rajiuun. "Sisi sote tometoka kwake na kwake tutarejea".

    ReplyDelete
  4. poleni sana tena sana wahusika wote kutoka kila kona ya dunia hasa kwa waliyo mbali.ewe mola wangu mpokee kiumbe chako ulokwisha kukichuku umlaze mahali pema peponi.umtayarishie malazi mema peponi msamehe madhambi yake makubwa na madogo.uwape subra kizazi chake ndugu zake waume na wake na mumewe.mamaake mzazi umpe imani na subra.marehemu tunaye hapa mdogo wake wakiume jina dula ampe naye subra.mdau toronto.

    ReplyDelete
  5. Inna lillahi wa inna ilaihi raajiuun. Mwenyezi Mungu ampe malazi pema na awape wafiwa subra.

    ReplyDelete
  6. Poleni sana ndugu zangu,nimesikitika sana na msiba wa mama yetu mpendwa. Mungu awape nguvu, Jamila, Othman , Muhidini, Hassan,Nilfa na Isaka .Poleni sana.Rest In Peace mama Jamila. Emmy Majogo

    ReplyDelete
  7. To Mr Nandule's family,

    I have just heard of the sad death of your lovely and sweetest mother, wife, Shuwea Nandule and I would like to say how deeply sorry I am.

    I cannot tell you how much I feel for you but I know you will realise that it has come to me as a great shock.

    We both had a great admiration for Mrs. Nandule and I hope you will find some slight consolation in the knowledge that we are grieving at her loss.

    In deepest sympathy.

    Yours sincerely,

    a lovely family friend,

    Agatha A Mshote (Joha)

    ReplyDelete
  8. INNALILAHI WAINNA ILAYHI RAJIUN poleni sana wafiwa M/MUNGU amlaze mahala pema peponi na awape wafiwa subira katika kipindi hiki kigumu

    ReplyDelete
  9. INNALILAHI WAINNA ILAYHI RAJIUN poleni sana wafiwa

    ReplyDelete
  10. naila.hollandJanuary 20, 2010

    nimezipokea taarifa zamsiba kwa mstuko mkubwa sana,mungu awape subira wafiwa wote.ingawa tupo mbali na nyumbani lakini tupo pamoja ktk kuombeleza kifo cha mama yetu mpendwa.sote njia yetu nimoja,tuzidi kumuomba mungu atupe subira tuweze kusahau haraka.maana nipigo kubwa ktk family.

    ReplyDelete
  11. Abdulaziz Hassan KHANDecember 20, 2012

    Asalam alykum warahamtuLLAH Wabaraktu!

    I want 2 say 2 my family that i am sorry 4 not being there in in the last days of my mother Shuwea...!

    This is Abdulazizi one of you´r sons in Sweden i pray 4 you often mama Shuwea and i ask ALLAH Aza wa jal 2 forgive you and 2 accept you in his ever lasting paradise.

    Allahu ma Amiinn!!!!
    InshaALLAH one day we will be together again bi ithni LLAH!

    One of you´r sons in Sweden.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...