Na John Nditi, Kilosa
MTU mwingine aliyetambuliwa kwa jina la Bright Chiduo ( 56) mkazi wa mji wa Kilosa katika meneo yaliyokubwa na mafuriko ya mvua amekufa baaada ya kuangukiwa na nyumba yake nyakati za usiku wa manane wa Mwaka Mpya.
Marehemu Chiduo anafanya idadi ya watu waliopoteza maisha kufikia wawili tangu kutokea kwa mafuriko hayo Deseemba 26, mwaka jana.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, Ephrem Kalimalwendo alisedma hayo jana ( Jan mosi ) kuwa kifo cha mkazi huyo kimesababishwa na nyumba yaliyokuwa aikishi ambayo ilizingizwa na maji ya mafuriko hayo kubomoka na kumwangukia usiku huo.

Desemba 26, mwaka jana Mkazi wa Kijiji cha Muungano, Seleman Madeva, alisombwa na maji ya mafuriko wakati akivuka barabara iliyofunikwa na maji alipokuwa akitokea mji mdogo wa Kimamba kulekea nyumbani kwake kijijini hapo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. http://3.bp.blogspot.com/_VoTYch4E9p0/Sz4CFmV8GbI/AAAAAAAABg4/WOIiXPNWKwQ/s1600-h/PICT0914.JPG




    Othman Mapara nimeona hizi picha za hawa watoto imesema wamepasuliwa je imewezekana au inshallah mungu atawasaidia. Michuzi Tunaomba utufatilie na utuwekee.

    ReplyDelete
  2. Kaka mambo vipi??
    Vipi siku hizi huna picha za warembo kaka?? naona kimya kingi. umenisahau kaka. kweli umenisahau mi mzee wa Pajazzzzzz, na titizzzzz.ile ilikuwa inanisaidia sana kuepukana na ukimwi manake mi nlikuwa najilia ugali kwa picha ya samaki tu siku inapita.
    yaaani mara ya mwisho kunitoa kaka ilikuwa siku ile ulipotundika mambo ya King Muswati na pajazzz + titizz za swaziland. ile ilikuwa mwaka 2009. kaka jaribu kunikumbuka basi ili nami nianze vizuri hii 2010 inshalah!!!
    Ubalikiwe kaka issa.
    Mdau wa Pajazzzzzz!!

    ReplyDelete
  3. Brother.

    Sasa huyu si Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Na alikuwa akitoa salamu zake kwa waTanzania sio watanganyika?

    Sasa mbona ameongelea mambo ya upande mmoja tu wa Tanzania?
    Hakuna lolote aliloongelea juu ya upande wa Zanzibar?

    Me nilidhani kwa kuwa anatoa salamu za Mwaka kwa waTANZANIA basi alipaswa aguse pande zote.

    Sijui. Sina hakika lakini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...