Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Batilda Burian akizungumza na Mshindi wa Nishani ya Amani ya Nobel mwak 2007 na ambaye pia ni mwanaharakati maarufu wa mazingira Profesa Wangari Maathai wa Kenya mjini Arusha leo wakati wa maadhimisho ya miaka 30 ya huduma za Posta Afrika yanayofanyika Arusha. Picha na mdau Clarence Nanyaro wa Ofisi ya Makamu wa Rais

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...