* Kurudisha heshima ya boma
* Kupambana na malaria
*Kupambana na saratani
* Kinga ya mwili dhidi ya magonjwa
*Ulcers
*Uchovu
*Blood circulation
*Inaongeza testosterone level 480%
Uzuri wake ni kwamba
* Ni Halal
*Imepasishwa na wataalamu wa viwango
* Haina Side effects
*Inafaa kwa jinsia zote
Ukihitaji bei ni poa. Piga simu namba
+255 713 393 333
Email: francwaa@hotmail.com
Jamani we need to be extremely careful about the things that are promoted. Please read the following available by doing a quick google search of tongkat ali.
ReplyDeleteTongkat ali should not be used by pregnant or nursing women or children..na hapa tumeambiwa inafaa kwa jinsia zote....
Tongkat Ali is also known as the "Asian Viagra".
It has been used in Malaysia for many years by men to increase sexual desire, libido, sexual performance and to treat erectile dysfunction.
Tongkat ali increases testosterone which is responsible for the growth and development of male reproductive organs, including the penis, testicles, scrotum, prostate, and seminal vesicles.
Safety
Reported side effects include insomnia, anxiety, and restlessness.
Je product hii imethibitishwa ubora wake na TBS? Tafadhali tufahamishe mdau, ili tuweze kurudisha heshima ya 'boma'
ReplyDeleteMdau
Canada
Heshima ya boma inarudishwa na kufanya mazoezi sana, kula na kunywa kiasi, na pia kupendana kwa dhati ktk ndoa. Sasa kama upo legelege, mazoezi hufanyi na unakula kila kitu, je hiyo heshima itatoka wapi hata kama unapata hiyo kahawa Michuzi????????????
ReplyDeleteMdau najua kuwa hii product imethibitishwa na TBS...na ni keki ya moto hapo bongo na Asia kwa ujumla. Sasa siye tulioko huku Ukerewe wengine zimetuishia, tunaomba utufanyie mpango Dokta.
ReplyDeleteMdau Uholanzi.
hiyo tongkat wanasayansi wanasema hivi:
ReplyDeletehttp://www4.infotrieve.com/newmedline/detail.asp?NameID=11693547&Session=&searchQuery=Tongkat&count=9
It has been reported that Eurycoma longifolia Jack commonly known as Tongkat Ali has gained notoreity as a symbol of man's ego and strength by the Malaysian men because it increases male virility and sexual prowess during sexual activities. As such, the effects of 200, 400 and 800 mg/kg of butanol, methanol, water and chloroform fractions of E. longifolia Jack were studied on the laevator ani muscle in both uncastrated and testosterone-stimulated castrated intact male rats after dosing them for 12 consecutive weeks. Results showed that 800 mg/kg of butanol, methanol, water and chloroform fractions of E. longifolia Jack significantly increased (p<0.05) the leavator ani muscle to 58.56+/-1.22, 58.23+/-0.31, 60.21 +/-0.86 and 62.35 +/-0.98 mg/100 g body weight, respectively, when compared with the control (untreated) in the uncastrated intact male rats and 49.23+/-0.82, 52.23+/-0.36, 50.21+/-0.66 and 52.35+/-0.58 mg/100 g body weight, respectively, when compared to control (untreated) in the testosterone-stimulated castrated intact male rats. Hence, the pro-androgenic effect as shown by this study further supported the traditional use of this plant as an aphrodisiac.
msipende kurukia mambo sana. haya ni matangazo ya biashara,lakini mfahamu kwamba hakuna kitu chochote ambacho ni safe 100% hivyo kusema haina side effect huo ni uongo.
ReplyDeletesio lengo langu kuanza kuichambua hiyo product yenu,lakini kwa ufupi tu kwakuwa ni cofee na ina cafein basi kuanzia hapo tu side effect zinaanza.kwanza lazima uelewe nini maana ya side effect"MATOKEO YASIYO KUSUDIWA WAKATI WA MATUMIZI YA PRODUCT HIYO"
pia kama inaongeza testosterone,ambayo ni homorne,unawezaje kusema haina madhara?maana homornr yeyote lazima iwe ktk natural ballance,ikipungua au kuzidi tu yanaanza mambo mengine.
ok sitaki kui-expose hapa product yenu lakini wakati unarudisha heshima ya boma jiandae kwa mengine ya ziada.
dr.mdau
Matangazo ya boashara..kunyweni basi tuone kama hiyo malaria itawaacha...
ReplyDeleteItaishia kuwa kama red bull inakatazwa nchi wanayoitengeneza na kuziuza nchini kwetu na kuwaachia hata watoto wadogo wanywe. MUNGU IBARIKI TANZANIA
wadau nawasiwasi na hii kitu,
ReplyDeletekamaina husika na testosterone
still wanadai ni kwa jinsia zote?