Home
Unlabelled
tumkumbuke mtoto wa dandu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mr.Cool James Dandu(RIP)
ReplyDeleteMimi na James tulirekodi Sina Makosa hii 1999,katika Studio nzuri mjini Stockholm Sweden,alikua akija kututembelea kwenye Klabu"Star-Light"ambayo tulikua tunapafom ndio akatoa wazo ya project.
Vocals by Bobo Sukari
Guitars Accoustic by Vumbi Dekula
Rap by Cool James
/Mdau Vumbi Dekula Sweden
Huyu alikuwa ni Treasure ya Tanzania. Alikuwa miongoni mwa ma-artistes wakwanza kabisa kufungulia hichi Kiwanda cha muziki wa Pop Tanzania. Watu wengi walimpenda sana.
ReplyDeletekama ingekuwa ni UK, watu kama hawa hutuzwa Knighthood.
Ushauri wangu ni kuwa jiji la dar litafute barabara ya maana na kuibatiza jina la Mtoto wa Dandu. Hii itakuwa ni bora kuliko wanavyofanya sasa hivi kutukuzana wana siasa tu, ambao wala hawaja-influence jamii kiuchumi wala kitamaduni.
THANK U SO MUCH MICHIZI FOR THIS VIDEO,
ReplyDeleteDAIMA NA BLOG YAKO IBARIKIWE
COOL JAMES RIP BRO
mdau wa pili hebu nidokezee ulichokula au kunywa hii leo, kweli alikuwa muimbaji mzuri, lakini sikubaliani kama angelikuwa mzawa wa uk angelipewa knighthood, hakufanya kubwa katika fani ya muziki kufika kuwa apewe u-knighthood. tena unataka tumuenzi kwa kubatiza barabara jina lake? are you serious? pole ndugu yangu!
ReplyDeleteRIP JAMES WE MISS YA SO MUCH. SWEDEN PAMEPOA TANGU UTUTOKE...
ReplyDeleteLALA SALAMA MTANI WANGU.