

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Du...huyo mama..Guu guu tu..Lol...!!
ReplyDeletepole mhe mkullo kwa maafa
ReplyDeleteDomo langu kama lina nuksi. Wakati walipoteuliwa wakuu wa wilaya nilimwambia rafiki yangu mmoja "..Mungu pishilia mbali lisitokee balaa kama Tsunami liikumbe Tanga na wakuu wa wilaya wake walioteuliwa na Kigoma Wahutu na Watusi wasianze wazimu wao tena kama ule wa mwaka ´94 au Nkunda asipitilize Kongo Mashariki ikawa noma kikwelikweli halafu wateremke wale wageni wakushtukiza kwa mamilioni sijui itakuwaje.." Yalipotokea mafuriko Kilosa nikaongea tena na rafiki yangu nikamwambia hadi sasa hatujamuona Mkuu wa Wilaya ya Kilosa siyo katika luninga wala magazeti. Rafiki yangu akaniambia "..Certainly yupo Madale kwenye mazishi au yupo kwenye ziara za kuhimiza ujenzi wa shule. Lakini mostly jamaa wote wapo Madale kwa sasa yakiisha matanga utawaona Kilosa.."
ReplyDeletehongela nmb
ReplyDeletehongera NMB kwa misaada kwa jamii
ReplyDeleteINAPENDEZA KUONA TAASISI ZIKIJITOKEZA KUCHANGIA PENYE MATATIZO YA KIJAMII...SAFI SANA NMB
ReplyDeleteJifunze kuvaa kwa huyu mkuu wa wilaya
ReplyDeleteKizuri chajiuza.
ReplyDeleteHongera Mh.Issa Machibya. Kwa mfano wako Ukuu wa Mkoa naona kweli una maana. Tunakufahamu kuwa wewe ni mtu wa kazi hata kabla ya kuhamia Moro.
keep it up nmb!
ReplyDeletekwa kweli na mimi namfagilia mkuu wa mkoa wa morogoro baba mchapa kazi huyu
ReplyDelete