David Cameron and Gordon Brown battle it out over the UK's terrible deficit, with once again, Gordon failing to answer any questions, preferring to attack Cameron on personality. Recorded from BBC...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Ushabiki mwingine wala hauna mankiti. Mtu ana akili timamu unawezaje kusema Gordon Brown hajajibu maswali ya David Cameron..???!!!

    Hayo majibu ya Gordon Brown hujayasikia au English is not reachable?

    Network Engineer (NE),
    Reading, UK.

    ReplyDelete
  2. brown kichwa wewe aliokuambia anashindwa kujib maswal nan ? huyo cameroon wako sawa na mrema makelele mengi tu , juz aliulizwa vp ataleta changes akashindwa kujib,

    ReplyDelete
  3. Cameroon kelele nyingi anataka madaraka tuu hana chochote. GORDON BROWN IS THE MAN - action speeks louder than words. after recession kila nchi ina deficit. Angekuwa yeye angeitoaje Britain kwenye recession bila Deficit???
    Wewe jinga uliyeweka hii check history wakati wa UK economy boom Brown alikuwa nani??? Mbona hukumlaumu then???
    Tatizo la uchumi ni la dunia nzima sio Brown ndio chanzo, kama Cameroon anataka kura azitafute kwa issue nyingine.

    ReplyDelete
  4. Hii clip mbona inaonesha kinyume cha vile ilivyoandikwa hapo juu? Ni dhahiri kwamba Gordon Brown anajibu maswali yote ya Cameron na kwa ufasaha mkubwa na ni Cameron ndiye anayemtupia Brownpersonal attacks.

    Are we all watching the same clip??

    ReplyDelete
  5. TO BE HONEST DAVID CAMERON IS INEPT HAIFAI KUWA KIONGOZI WA NCHI KAMA BRITAIN, KAMA TORY WATASHINDA MTAONA JINSI NCI HII ITAKAVYOYUMBA, FRONT BENCH LAKE AMBAO WATAKUWA MAWAZIRI NI WACHOVU HAWANA UZOEFU WOWOTE. SIKU HII GORDON BROWN ALISINDWAKUJIBU SWALI MOJA TU KIFASAHA LA MBUNGE TOKA LABOUR AMBAYE ALIUULIZA JUU YA JINSI GANI GORDON BROWN KAMA LABOUR ITAKUWA MADARAKANI ATAFANYA NINI KUHAKIKISHA PPULATION YA UK HAIFIKI MILIONI 70, ALIJIBU KAMA IFUATAVYO, KUWA WAMEANZISHA POINT SYSTEM AMBAYO INAZUWIA WATU KUHAMIA OVYO UK, INACHUKUWA WALE TU AMBAO NI WATAALAMU SI NONE SKILLED LABOUR. HILI JIBU NI SHALLOW KAMA IFUATAVYO YEYE ALICHANGANYA IMMIGRATION NA POPULATION GROWTH, NI KWELI IMMIGRATION INACHANGIA POPULATION GROWTH LAKINI KWA KIWANGO KIDOGO SANA, ALISAHAU KUWA WAO WENYEWE WANAENDELEA KUZAANA, KUNA EU MEMBERS AMBAO WANAWEZA KUJA HAPA NA KUISHI BILA KIKWAZO HOCHOTE NA NI AMBAO WALIOFURIKA SASA NA KUAMSHA MALALAMIKO JUU YA PUPOLATION KUKUWA. GROWTH YA POPULATION SI IMMIGRATION TU FROM OUTSIDE EU, PIA WAO WENYEWE WANAZAANA, NA KUNA EU CITIZEN WHO ARE FREE TO GO ANYWHERE IN EU COUNTRY ANYTIME, ALITAKIWA KUJIBU SWALI HILI KIMAPANA. NINA UHAKIKA PIAHATA MBUNGE ALIKUWA NA MAANA YA IMMIGRATION LAKINI ALITUMIA NENE POPULATION GROWTH FOR THAT MATTER IMMIGRATION INA PLAY MINUTE PART KATIKA KUKUWA KWA IDADI YA WATU HAPA, KWANI KWAO IMMIGRATION INA MAANA WATU TOKA EU, NA HASA AFRICA, HAWATUTAKI KABISA, NA WALIRIDHIKA NA JIBU KWA VILE NI JIBU WALILOTEGEMEA KUTOKA KWA BROWN, A POLITICAL ANSWER.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...