Japanese ambassador to Tanzania Mr. Hiroshi Nakagawa(centre) introduces to President Jakaya Mrisho Kikwete The President of Japan Tuna fisheries Corporation Mr.Masahiro Ishikawa(left) during a courtesy call on the President at State House in Dar es Salaam today.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Huyu jamaa ni wa kukaa nae vizuri, nadhani wao ndio walikuwa wanaenda kuuziwa wale samaki wa magufuli. Nadhani inabidi tumtumie tuone ni kwa namna gani tutaanza kunufaika na bahari tuliyonayo iliyojaa samaki tuna wakiwemo.

    ReplyDelete
  2. Tafadhali Rais usije ukauza bahari yetu kwa wajapan kabla ya kufanya maamuzi tafadhali tazama taarifa iitwayo "TUNA WARS", ambapo samaki aina ya Tuna wanavuliwa kwa wingi kupita uwezo wa samaki hao kuzaliana na wote wanauzwa JAPAN kwa pesa nyingi lakini madhara yake ni gharama zaidi ya faida itakayopatikana. Najua huyo hakuja kusalimia bali anataka saini ya mikataba..BABA tafadhali wanao tutakuja kufa njaa ukikubali kuuza bahari kwa wajapani..

    ReplyDelete
  3. DK MAGUFULI KAMATA HAO! NDO WABAYA WETU HAWA WA DEEP SEA FISHING! MAGUFULI FOR PRESIDENT!!!

    ReplyDelete
  4. Sawa kabisa mdau wa kwanza, Japan wanaongoza kwa kuvua samaki duniani na hupendelea aina ya samaki hao wa 'magufuli' aina ya Tuna.

    Vilevile hula samaki tuna wabichi mezani a.ka. 'sushi' kwa sana Japan.

    Jambo la kuzingatia ni mikataba ya 'win-win situation au kwa kiswahili Wajapani 'wakitaka wale basi lazima waliwe' na Tanzania kwa mkataba mzuri kwa pande zote.

    Serikali ya Tanzania isisikilize kelele za Greenpeace(a.k.a mataifa ya Magharibi kuhusu uvuvi, ilimradi hawatupi baharini samaki wengine dizaini ya kolekole, vibua hao ( Kolekole na vibua)washushwe Feri DSM na Zanzibar n.k ati kwa vile wanata tuna tu.

    Mdau
    Mafia Kisiwani

    ReplyDelete
  5. ASANTE MUNGU, ANGALAU SASA, MALI YETU INAWEZA KUCHUKULIWA KIHALALI ILI NA BABA YANGU ALIYEKO MANUREMANGO AWEZE KULA MATUNDA YA MALI ASILI YAO: BAADA YA KUSEMA HAYO NIELEZE JAMBO MOJA. HII YOTE NI KUTOKANA NA ASKARI WA MWAMVULI ALIYEBAKI MHE MAGUFULI, NI MMOJA WA VIONGOZI TULIONAO AMBAO HISTORIA YA NCHI YETU ITAMNUKUU. WIZARA ZOTE ALIZOOONGOZA ZILIONYESHA CHECHE, NAKUMBUKA ALIPOONDOKA WIZARA YA ARDHI WATU WALILIA. (DOA KUBWA ALILONALO NI KUHUSU KUUZA NYUMBA ZA SERIKALI, NAKUMBUKA ALIVYOLITETEA SUALA HILO. NAAMINI YOTE LABDA HAKUJUA KUWA ULIKUWA NI MPANGO WA ULAJI WA SERIKALI YAKE) NINAIMANI KUNA SIKU ATAKUJA LIREKEBISHA HILO. NIMALIZIE KWA KUSEMA KUWA AANZE MAANDALIZI YA KUGOMBEA UONGOZI WA NCHI, NA KAMA HANA MPANGO HUO, MHE JK KIPINDI CHAKE CHA MWISHO AMTEUE WAZIRI WAKE MKUU ILI ATUSAFISHIE NCHI..... MNAKUMBUKA ALIVYOCOMMENT PALE KWA WAHINDI NA PIA KUHUSU HUYU MJAPAN. HUYU NDIYE TYPE YA VIONGOZI TUNAOTAKA. MUNGU IBARIKI TANZANIA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...