
Pata Program za ukweli LIVE kutoka kwa vijana wa
MJ FM 93.0 –Arusha 24/7
www.mambojamboradio.com
WE WISH YOU ALL A HAPPY NEW YEAR 2010
www.mambojamboradio.com
WE WISH YOU ALL A HAPPY NEW YEAR 2010
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
asante sana anko nanihii kwa hii link. nimeifungua naona mambo saafi. basi tuwasupport jamani.
ReplyDeleteKwanza niwapongeze, hongereni sanaaaa, maana hata redio ya taifa haipatikani online (Nchi hii) kaaaz kwelkwel, anyway bado naona kwikwi zipo nadhani marekebisho madogo tuu yanahitajika! Big up!!
ReplyDeletenimesoam kiswahili chao kwenye advert za progmram, its shame, sijui kama kuna mwingine amesoma ila kama ndio kiswahili cha watangazaji wa redio, then your are not serious, would you please mind to edit it,
ReplyDeletethanks
WEWE ALEX WEWE, ACHA LONGOLONGO SIKILIZA RADIO NENDA KALALE....WABONGO BWANA!!!
ReplyDeleteWewe ALEX "nimesoam" na "progmram" ni nini?Inaelekea inabidi urekebishe kwako kwanza kabla ya kuwasema wenzako....Hebu sikiliza Redio kaka acha longolongo..
ReplyDeleteHongera sana MC Mambo Jambo iko juu endeleeni kujiboresha na kuchukua maoni mazuri yale hovyo wekeni kando.
ReplyDeleteBig up MJ radio....Frida vipi mwanao JAIZEE anakupa hi from kidimbwi beach A-TOWN to brooklyn NYC ...wakiliisha Mamiie
ReplyDelete