AJ akila pozi
wadau wa blackFox
mamodo wa blackfox

haya wadau wa umodo,
AJ yule supa modo aliyekuwa anafanya kazio kule scotland, ameamua kurudi tofauti na wadada wengine, anarudi kuitumikia tanzania na kuleta mambo mapya aliyoyasomea na kujifunza huko.
ameanzisha agency yake ya mamodo inayoitwa blackfox.
hii agency itahudumia mambo yote kuanzia matangazo ya billboards, hadi kwenye fashion shows, hadi kwenye wanaohitaji extras wa kwenye movies na music videos.
Jamani tumuunge mkono kijana wetu wa tanzania.
Jina ni
BLACKFOX MODELLING AGENCY.
Number yao ni 0714 132626

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Umesema neno moja tu, na roho yangu imepona!!. picha nzuri sana hasa hiyo ya pili.
    ahsante sana kaka
    Mdau wa Pajazzz+titizzz

    ReplyDelete
  2. hivi michuzi cheo cha super modal nani anakitoa au kinapatikanaje?? , maana naona siku hizi kila mtu anajiita super modal yaani like naomi wakati hatuwajui kabisaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  3. nami napenda kuwa model jamani lakini sina uwezo tafadhali dada niunge katika kampuni yako ya umodo kwani wewe Mungu ameshakukunia nazi, napatikana dar,nitakutumia massage kwa simu.
    Matilda cheerz.

    ReplyDelete
  4. GO GIRL ........... ALL THE BEST

    ReplyDelete
  5. WEE unamwaribia mwezio biashara. unatangaza tangazo zuri halafu hapo hapo unakshifu "ameamua kurudi tofauti na wadada wengine" lini mtaelimika. Maisha ni popote. Na kesho akiamua kurudi tena huko alikotokea au akiamua kuamisia agency yake kwa watani au SA utasemaje?

    elimikeni maisha popote inategemea unajali vipi wa kwenu. Wengi hapo bongo hata thumuni hawawapi wakule vijijini but kwenda tu kutanua xmass think about misaada wabongo walio nje ya nchi wanavyopeleka huko vijijini.

    ReplyDelete
  6. we need more like her, sio wale wanaondoka ili waishie huko huko. rudini tanzania

    ReplyDelete
  7. I am proud of this girl jamani..... She is talented. I am so proud with every step SHE is taking; Aj,You are a model asiyekujua anaweza akaku- google;
    In Every millions miles walk start with single step.......

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...