ankal na supa staa albino fulani
usiku kuamkia leo wadau walimuandalia mnuso wa kishkaji maeneo ya uswazi jijini dar supa staa albino fulani ambaye yuko vekesheni bongo akipromoti singo yake kali ya 'Nafasi' pamoja na muvi ya baby powder ambayo yeye kacheza na itatua bongo karibuni.

Kupata vitu vyake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. ankal naona una ze fulanazz mpya au hiyo ndio ya mtoko na ile ya kazi.....

    ReplyDelete
  2. kumbe makaratasi ya albino fulani yamekaa sawa

    ReplyDelete
  3. itabidi utembee na pistol.

    ReplyDelete
  4. USA noma,wabongo kibao hawana makaratasi,miaka kibao hawarudi home,au wakiamua kurudi ndio kimoja as watarudije..Wengine wanajidai ooh US imetuchosha tumeamua kurudi Bongo....asikudanganye mtu,nchi za watu bila makaratasi hakuna raha bwana......hata upige box namna gani na uwe na pesa vipi.ShuleKusoma ndio usahau,maana utasomaje bila makaratasi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...