Mkurugenzi wa Benki ya Wanawake Tanzania, Bibi Margareth Chacha akitoa ufafanuzi kuhusu Benki hiyo kwa ujumbe wa wabunge wa Namibia waliotembelea taasisi hiyo.Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wanawake Tanzania, katikati ni Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto, Mhe. Lucy Nkya.
Mkuu wa Msafara wa Wawakilishi wa Wabunge wa Namibia, Mhe.Elia George Kayama, akipata huduma za Kibenki katika Benki ya Wanawake, walipotembelea Benki hiyo jijini Dar Jumatano. Katika ziara hiyo walikuwepo pia Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii.

ASANTE KWA KUKIONDOA KIINGEREZA.
ReplyDelete