MBUNGE wa Iramba Mashariki Mgana Msindai katikati ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya mahesabu ya serikali za mitaa akisomewa taaarifa ya ujenzi unaondelea wa ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mpanda , mkoani Rukwa kulia kwake ni mjumbe wa kamati hiyo ambaye pia ni mbunge wa Geita Ernest Mabina. Picha na mdau Peti Siyame wa Rukwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. huyo ndiye mwenyekiti wa mahesabu ya serikali. Kazi kwelikweli.

    ReplyDelete
  2. Kwa taadhima na heshima kuu Mithupu usinitie kapuni, lakini naomba kuuliza.
    Mhe Magana Msindai ni TWO-IN ONE au?
    Kama siyo hii ni afya kweli?
    Simtanii Mheshimiwa lakini afya hii inanitia shaka sana.

    ReplyDelete
  3. Unajua kama mtu kazi yako ni ya kukaa kwa muda mrefu unashauriwa kufanya mazoezi au kupata diet inayoendana na mazingira ya kazi. Sasa wbunge wetu wengi wanalipwa hela kibao kwa kulala na matokeo yake unakuta mtu mmoja anaagiza achomewe nyama kilo tatu peke yake. Kwa nini wasiwe hivi?. Hebu ofisi ya bunge iwe na programme ya kutoa elimu ya afya ya kula na mazoezi kwa waheshimiwa wetu. Inawapunguzia uwezo wa kufikiria mbinu za ujasiriamali wa kuendeleza majimbo yao

    ReplyDelete
  4. Ni vema kama maximo akamwita ili afanye mazoezi na vijana, labda itamsaidia kupungua kidogo.

    ReplyDelete
  5. Mzee Karibu Muhimbili kuna Kitengo kinaitwa "Metabolism Counseling" hapo utakuta wataal waliobobea katika masuala ya ushari Nasaha juu ya mtu anavyojishirikia na vyakula na vileo vya aina mbali: Hawa wanasomea jinsi ya kumjengea mtu will power ya kuweza kuchangua chakula cha kujenga Afya yake, na kuweka miapaka ya vileo. Lengi kuu likiwa kuimarisha afya yako, na mtu kuapata kufurahia maisha yake katika kila fani : kama vile, kutembea, tendo la ndoa, kuoga, kujisomea na kuepuka majasho hovyo hovyo n.k KARIBU SANA METABOLISM COUNSELING MUHIMBILI HOSPITALI YA TAIFA; TZ

    ReplyDelete
  6. misupu bwana lengo lako si hiyo kamati ni huyo bonge anafanana na rais mstaaf kidogo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...