Je, we ni denti wa chuo na bado hujajiunga na zain boom club? Hakikisha unatembelea duka au ofisi yoyote ya zain, au onana na afisa waliopo katika chuo chako, kujiunga ni rahisi…..

Unahitaji kuwa na kitambulisho chako cha chuo, na namba ya zain. Na kama hauna utapewa line bure! zawadi nyingi za kushindaniwa kila mwezi..
Jiunge sasa na kumbuka kwamba:

Unavyozidi kutumia, ndivyo unavyokaa katika nafasi nzuri ya kujishindia vitu vya kijanja kama Laptops, TV, moderm, Ipods na simu kali.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Huku ulaya huyu anajulikana kama PEDOPHILE (yani ni mtu anaependa wasichana wadogo) africa sheria haifuatiliwi sana ila naomba mungu yoyote aliechaguliwa kwenda kwenye hii concert awe na mwakilishi wa kumlinda, kama ni wasichana kwenye miaka ya 14-18.
    Michuzi asante kwa kuposti mambo kama haya manake tuwafafanulie wengine wasiomjua na tabia yake.

    Michuzi Juu, Juu, Juu ZAIDI.

    ReplyDelete
  2. ZAIN JAMANI BADO KILIO CHANGU HAKIJASILIZWA MBONA VOCHA ZA SIMU HAZIINGII KWENYE SIMU ZETU TULIO HAPA DRC (CONGO). KUNA MATATIZO GANI?

    ReplyDelete
  3. R.Kelly is da only Musician in dis World da rest r singers n rappers,this is due 2 da fact dat Kell's can do any type of Music.Akiweza apitie Bongo kuna taarab na Congo mambo ya Sebene najua atafunika tu.Ila tabia zake ndo vile tata....Ila kimziki yupo juu...!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...