Home
Unlabelled
zawadi kwa madenti wa kibosho girls enzi za maza consolata
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Walimu kama huyu bado wapo tena kweli kwenye mashule yetu??!!
ReplyDeleteTunahitaji kama hawa kwenye baraza la JK!! Baraza la JK ndio kama hao wanafunzi wa kidato cha tano wanaosemwa , hawajiamini hivyo wanasikiliza tuuuu na hawana hoja..Matokeo yake ni mpaka Rais aseme kisha bora liende!!!
Mdau
ooh mmmenikumbusha mbali enzi zile za kibosho,miaka88 enzi za mwalimu moye na mwalimu erick hivi bado wapo jamani?
ReplyDeletejamani tumetoka mbali mama mcha na phonology we acha tu cku hizi kuna shule? mana enzi zile kibosho,kiraeni ,mazinde juu,na kifungilo finito
ReplyDeletejamani umenikumbusha mbali, japo mie nilisoma enzi za hermania yaonyesha sister conso alikuwa way too cool
ReplyDeletemama mcha?!...wow, kweli tumetoka mbali sana...thats my teacher right there
ReplyDeletemama mcha,mwl mpimbi ,mother conco,mwl moye ,mr lauwo jamani nataka kulia halafu kule kwenye nguruwe babu petir anatuletea maparachichi toka village tukienda dinning kula makande tunabeba avacado zetu teh teh
ReplyDeleteanonym wa kwanza ungejua siku hiyomi nilikuwepo hata hatukufanya kikubwa sana japo ni cku nyingi ila unajua mzazi huwa hapendi mtoto akosee ataongea we mpaka basi kwetu cc mama conco alikuwa si head mistress tu bali kama mama ndo mana alitusema sana.c kwamba hatukuwa na hoja mama konco alipenda ndiyo mama kahutaka kubishiwa nac kwa kuwa tulimpenda tulimjua tukampa kile kitu anataka.
ReplyDeletenamwona mauricia singe,teddy mpangala ,somebody kaniki, gita tulapona,happy misanga,shiri jojo, sophia mang'enya,mboka kapya,lila, mama macha naye,aichi nani cjui n many more yaani anko michuzi thank u 4 for suprise
ReplyDeleteIn case you don't know how the film got to YouTube, it was me, Mr Jeff (Forssell) from Sweden that put it there. I was going through old films I had taken and thought that there should be a lot of people whose memories would be awakened by this. (Like for me!) Check out swahili77 on YouTube and maybe my site: tupo.biz
ReplyDeleteKwa kweli alikuwa mama mzuri,ila mwanzo hatukujua tuliona anatutesa lakini alitusaidia sana .mm nilimaliza hapo form six ya kwanza.Mungu ambariki sana.Mr Moye bado yupo nilimpeleka mtoto wangu nilimkuta though amekuwa mtu mzima sana.
ReplyDelete