Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. MICHUZI UMENIKUMBUSHA MBALI JAMANI!!NASHUKURU SANA KWA ZAWADI NZURI ULIYOTUTUMIA..DUU!!HIVI MAMA CONSOLATA YUKO WAPI
    LILLY URASA/NORWAY

    ReplyDelete
  2. Jamani michizi yaani umenikumbusha mbali sana nakumbuka kipindi hiki nilikuwa nipo form one!!! ooooh my God!!1yaani naangalia hii picha natokwa na machozi ya furaha ooo mungu wangu!!!kweli watu tumetoka mbali jamani.maza conso wetu oooohh!!! Thaks bro Michu.
    Mdau U.S.A.

    ReplyDelete
  3. Asante sana Michuzi kwa zawadi nzuri mno uliyotupatia, kwa kweli umenikumbusha mbali mno. Nimefurahi sana kumuona mother Consolata. Hivi jamani kunamtu anajua yupo wapi kwa sasa??

    ReplyDelete
  4. Du!Bro Michuzi umenikumbusha mbali sanaaa,nakumbuka nilikuwa form one those days,Sister Conso alikuwa bomba!.Beatrice.DSM

    ReplyDelete
  5. Michuzi asante sana yaani kwa kweli machozi yamenitoka mwishoni nimemuona Mwl Mashashi.

    ReplyDelete
  6. Ooh!My goodness yaani kaka michuzi umenikumbusha mbali nimelia kwa furaha nimekumbuka those days.Thank you so much bro!
    Mkishumundu,U.S.A

    ReplyDelete
  7. kaka michuzi tuwekee basi kama unapart3 na kuendelea loh!

    ReplyDelete
  8. Oooh Michuzi umenikumbusha mbali sana yaani nimemuona girlfriend wangu wa kwanza yaani nimelia sana. hasante sana

    ReplyDelete
  9. yaani jamani cwezi kusema really giood that was the school mother conso alitufundisha upendo cjui yuko wapi mama yetu jamani natamani nilie kwa furaha.
    by happiness misanga-dsm

    ReplyDelete
  10. we anon hapo juu umenivunja mbavu ati umemuona girl friend wako wa kwanza ha haaa ooooh

    ReplyDelete
  11. mdau wa 10.30 may be i was ure girlfriend those days,i have my first bf this time ,nilikua form 4 1995,toure class jamani i miss u a lot.nikikumbuka maparachichi,what about social time na visiting day.michizi ubarikiwe

    ReplyDelete
  12. Wapi,
    Sophia Kombe
    Joyce Mwaluli
    Paula Mtove
    Vicky Mwanache
    Peace Nyamubi
    Rose Mwacha
    Flora Kebara
    Catherine Lyimo
    Jacqueline Laizer
    Neema Mwangama
    Suzy Galinoma

    Ntashukuru kupata mawasiliano ya hao kina dada hapo juu.

    Mdau,Korogwe

    ReplyDelete
  13. dada mkuu susan mwambungu!!yuko wapi jamani!!dada alikuwa na upendo huyoo!!joyce lyimo,happiness minja alikuwa mnoko huyo!!!,mary minja...jamani!!mnakumbuka huu wimbo
    KIDATO CHA NNE!!TUNAOMALIZA,WALE WAKOROFI,SISI TWAWAOMBA ACHENI KUMSUMBUA MAMA YETU WA UPENDO CONSOOOOO!!!WAPI JEDIDIA SAWE,WAPI AISA LEMA

    ReplyDelete
  14. teh teh anonym huyo amemkumbuka girl friend wake na bado. cjui ulimwacha au alikumwaga unalia nini sasa we siulijidai kunitosa ukamchukua yule. nami nikapata mwingine nikaolewa na watoto juu kazi kwako uliyehangaika na dunia nilikwambia utanikumbuka c unachek inaelekea hupati ile kitu nilikuwa nakupa eh.lako hilo babu

    ReplyDelete
  15. jamani umemkumbuka mashashi nilimsahau jina ,nilikuwa kidato cha 5 nakumbuka,visiting day,social, assembly asubuhi na nyimbo nzuri za kumtoa nyoka pangoni. vp mr mpimbi na unoko wake pale mbele maisha haya we acha tu tumetoka mbali cc

    ReplyDelete
  16. Halafu kulikuwa na mwalimu Sengerere,Kirenga,Urasa na Asengo.Mnakumbuka wadau?Enzi za kwenda shamba la mahindi Weruweru. Kuondoka alfajiri kurudi jioni. Those were the good old days.Michuzi asante sana kwa kutuletea mambo bomba kama haya.

    ReplyDelete
  17. waoh michuzi so long jamani..duh those days..Mr mpimbi alikuwa mnoko ka jina lake,Mr Moye babayetu mpendwa na Mr Menei jamani tunawa miss sana sana mambo ya kusugua rafu za madom loh...shamba weruweru,,jamani?????acha tu ankal..so long so gud.Thank you Ankal
    Mdau USA

    ReplyDelete
  18. Kama Michu,

    Asante sana sana umenikumbusha mbali kishenzi. Nakumbuka mambo ya kudoji usiende kwenye paredi kwa ajili ya graduation yaani kipindi hicho kinakuwaga kipindi cha mchacho kishenzi jua kali halafu kuvuna jamani watu noma kishenzi. Kuna kitu kimoja nimekumbuka kwenda kuoga mtu akikuomba lifti sio lifti y akufua hapana ni kwenda kuoga pamoja yaani ukishajimwagia maji wakati unajisugua kwenye kordo la bafuni mwingine anaingia kujimwagia maji. Kuna watu walikuwa mahodari kuwahi mabafu saa za jioni maana kunakuwaga na crouwd kishenzi especially wakati watu wakitoka paredi halafu kuna muda mfupi tu kwenda kula chakula cha jioni halafu tunaunganishia study. Du namkumbuaka Mr. Asengo du teach alikuwa noma kishenzi Moye ndio usiseme kipindi cha social yaani we acha tu maana wakija Ilboru ilikuwa ndio hot kibosho walikuwa wanapendwa kupita kiasi na wao walikuwa wanawafia madenti wa KGSS. Kukiwa na trip ya kwenda town we acha tu. Wapi mama Caro Kirita jamani alikuwa social comittee wetu nilikuwa nampenda Dada Ritha Maro jamani alikuwa social comittee wa KGSS. Yaani Michu ni mengi ninayo kishenzi yaani umenikumbusha mbali hadi natamani niandike kama kitabu. Nakumbuka visiting day jamani yaani watu walikuwa wanaupara ile mbaya waliojiwa wasiojiwa ili mradi tu. Halafu nakumbuka kipindi cha shamba watu walikuwa wanatoroka kwenda kukaanga mahidni yaani ukiniambia sasa hivi niyale yaani siwezi kabisa jamani maisha ya shule ni mazuri sana kwa kweli KGSS was the best kipindi cha Mama Consolata sasa hivi sijui lakini maana nasikia aliondokaga. Mchakamchaka tulikuwa tunaimba nyimbo moja hivi mother akaikataza nakumbuka ilikuja sheria kuwa tukate nywele shule nzima kwa madai kuwa zinatupotezea muda wa kusoma sasa watu waka wanaimba hivi "Azimio la kibosho limelete mambo mengi, kukatakatakata na mapanki wasicha wa kibosho" jamani shule unaweza tunga nyimbo za ajabu sana. Nilikuwa naupenda sasa wimbo wa shule yetu ulikuwa mzuri sana. Nilikuwa napenda pia vipindio vya kuigiza yaani form three yetu NETO enzi hizo tuliigiza ili tupate hela ya kwenda last night yetu tukimaliza form four. Nawakumbua akina Raheeb Ndolanga, Upendo Mfere, Mwajuma Msangi, Frasisca Pantaleo, Caro Kirrita, Judith Temba jamani mko wapi. Agness Tuniga, Rickey Muro, Lilian Kiwia, Beatrice Ndosi jamani nawapenda tukutane one day jamani inawezekana. Kulikuwa kuna wadada vingunge enzi hizo wa form six ukiwa na shida ukienda kwao hawasiti kukusaidi akina Sophia Kombe, Sonia Kombe, Gathi Gachuma, Clara Chamshama na wengine wengi. Jamani dada Pile Kawawa unakumbua enzi za mweza wa ramadhani kwenda kula daku acha tu kande unaliweka kwenye tranka ukiamka lilivyo la baridi unalipiga hivyo hivyo na maisha yanakwenda. Jamani long live KGSS ya enzi hizo. NAWAPENDA SAAAAAN. ASANTE SANA KAMA MICHU.

    LUV MDAU-DSM

    ReplyDelete
  19. Jamani wanakibosho jiungene na kwenye Kibosho Gilrs High School kwenye facebook ndio tunaweza endelea kukumbushiana mambo. Watu tuliomaliza mwaka 1990 sketi ya bluu mpo wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...