Mkazi wa jijini Dar akisafirishiwa mzigo wake kwa guta huku akiwa kakaa juu yake kama alivyokutwa katika barabara ya Kawawa road leo na francis dande wa globu ya jamii. Analazimika kutumia usafiri huu wa bei poa huku akilinda mzigo wake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hivyi vitu si vya kuruusiwa mijini.tuna kuwa kama wa hindi barabra hiyo hiyo wanapita gombe bajaji, pikipiki baskeli ngamia .hina kiwuwa kero.sasa fly over zikijengwa hitakuwaje

    ReplyDelete
  2. HIYO NI HATARI KWA HUYO MAMA NA ABIRIA WA AINA HIYO KWANI IKITOKEA AJALI HAPO ATAKWENDA CHINI KWA VILE HAMNA MAHALI ALIPOJIFUNGA AU KUSHIKILIA NA PIA HIVYO VYOMBO KAMA HIVYO VIWE NA BIMA, WAKATIE BIMA

    ReplyDelete
  3. Kweli kulinda mzigo, Lakini tukumbuke kuwa Mzigo huu ni wa Biashara unaonekana kama uga au mchele, naye kaweka matako yake juu, zaidi hii ni Dar kuna joto na makali ya kichemka yanaingia kwenye uga au ndo maana mlo wa kama lishe unoga sana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...