Karibuni kwenye Sherehe za Winter Bongo Flavaz Nite yani ni sikuu ya kuwakumbusha kuwa Mziki wetu wakizazikipya yani umekuja juu hile mbaya kimfano sasa hivi vijana wa andaground Ndousisemee sasa basi Siku ya Terehe-26-feb-2010 Ndani ya ukumbi wa
Vanilla Ice Club
Old Palac Latino
Old Palac Latino
Storgata 26
Oslo,Norway
tumejianda vikari na nyimbo mpya zinazotamba
Hivi sasa, kama Usiniseme by Ally Kiba+ Utaipenda by Hussen na nyinginezo nyingi tu ndani. Sasa usikose ukiwa karibu na Oslo mjini hapo kiingilio ni 100 kr. tu open kl.22:00 mpaka
Majogo yawike contact:-

+47 988 78 361
Dj Uncle Pred a.k.a Abdul......
kaka unatizingua, hivi majogoo yanawika kweli huko?? maana usiku wenyewe mfupi kabla hata hamjayarudi kweupeeeeeeeee!!!
ReplyDeleteDuh ulaya ulaya!! kunani huko wazee wamabox
safi sana Dj Uncle Pred..ijumaaa tuko huko tunafunga safari..
ReplyDeletec u there
mdau Finland