Karibuni kwenye Sherehe za Winter Bongo Flavaz Nite yani ni sikuu ya kuwakumbusha kuwa Mziki wetu wakizazikipya yani umekuja juu hile mbaya kimfano sasa hivi vijana wa andaground Ndousisemee sasa basi Siku ya Terehe-26-feb-2010 Ndani ya ukumbi wa
Vanilla Ice Club
Old Palac Latino
Storgata 26
Oslo,Norway

tumejianda vikari na nyimbo mpya zinazotamba
Hivi sasa, kama Usiniseme by Ally Kiba+ Utaipenda by Hussen na nyinginezo nyingi tu ndani. Sasa usikose ukiwa karibu na Oslo mjini hapo kiingilio ni 100 kr. tu open kl.22:00 mpaka
Majogo yawike contact:-
+47 988 78 361
Dj Uncle Pred a.k.a Abdul......

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. kaka unatizingua, hivi majogoo yanawika kweli huko?? maana usiku wenyewe mfupi kabla hata hamjayarudi kweupeeeeeeeee!!!
    Duh ulaya ulaya!! kunani huko wazee wamabox

    ReplyDelete
  2. safi sana Dj Uncle Pred..ijumaaa tuko huko tunafunga safari..

    c u there

    mdau Finland

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...