ankal akiwa na chef issa ambaye ndio katua bongo kwa vekesheni.
Mcheki kwenye libeneke lake la mapichi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 26 mpaka sasa

  1. michuzi fungua ofisi uwanja wa ndege.

    ReplyDelete
  2. mapichi!!

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  3. Wee chief Issa, usilete mambo yako ya ulaya hapa bongo.sasa hilo pluneki la nini na joto la Dar.kama huna nguo za summer sema,tukupe za tandale.sie hatujali umetokea wapi.hahaha.utani tu mkuu.

    ReplyDelete
  4. Ankal sasa hiyo totol neki ya shefu vp tena na joto la tauni hapo...kweli bongo tambarare...

    ReplyDelete
  5. yani michuzi umependeza sana leo umekuwa na mvuto sana si uwe unavaa namna hii bonge gentleman duh chef naye si mchezo kapendeza mno yani mmefanana ghafla mtadhani mapacha
    manka wa canada

    ReplyDelete
  6. kaka michuzi asante sana kwa kututambulisha chef yuko bongo karibu sana tanzania

    ReplyDelete
  7. mhh kazi ipo !!mtaani

    ReplyDelete
  8. Ankal Misoup why is the guy wears a pull neck in Dar? isn't cold out there?

    ReplyDelete
  9. kaka mithupu nasikia zuma amezaa nje ya ndoa licha ya kuwa na wanawake 3

    ReplyDelete
  10. Kumbe Chef Issa umekaa ki-spotspot!! naona gym sana kumbe ukiwa hapa manchester.

    ReplyDelete
  11. Huyu ni chef issa wa kategile au?

    ReplyDelete
  12. Karibu sana Issa na hongera sana kwa shule na kazi zako za hapa na pale, I have sent you an e-mail, please let's meet before you leave.

    ReplyDelete
  13. Jamani mnaouliza kuhusu pull neck jibu mnalo maana chef katoka kwenye barafu na sasa baridi ni kali sana so bado anasikia baridi na isitoshe anatenbea ndani ya Ac na analala na ac itachukua muda kidogo kuzoea joto pia mbona watu kibao wanatembea na makoti ya suti jua kali? hahahahaa che karibu town jibu mail yangu pls

    ReplyDelete
  14. Chef unakula nondo au unapiga chuma maana naona mwili wako umekaa kijapan hahahahhaaaa safi sana usionje onje ukawa na kitambi pls

    ReplyDelete
  15. MZee sasa inabidi tuonane pls tufanye mautundu pamoja au utatukimbia soon pls jipange ili nasi tufaidi shule yako mkuu

    ReplyDelete
  16. Mbeba Box karudi kuwalisha sasa Kusoma raha. Haya wala vumbi kosoeni sasa.

    ReplyDelete
  17. Yale yale ya John Mashaka na 3 piece suit yake Bongo.

    ReplyDelete
  18. Toeni zenu nyie hapa,mbona ALIPOKUJA JAYZ NA WAIMBAJI WENGINE KAMA HUYU ALOKUJA MWISHO SIJUI REDMAN AU XHIBIT AH!SIJUI MIMI LAKINI JUZI JUZI TU HAPO ALITINGA MABUTI YA BARIDI NA MAJACKET HAMJASEMA KITU,ILA SASA KAMA MTU MPISHI ANA UMUHIMU GANI WA KUWEKA HUMU AU JE AMEFANYA NINI CHA KUONGELEWA,MAMBO MENGINE UTOTO TU,ULAYA WATU WAPO LONG FUCKEN TIME NA WANAMADEGREE YA KUTENGENEZA BOMU NA HAWAJATOA PICHA ZAO SIO,UTAFIKIRI KUSADIKIKA WATU WENGINE BWANA!

    ReplyDelete
  19. allan makwaiaFebruary 05, 2010

    105 F degrees mtu na pamba tu, hakuna kusweat wala nini, michuzi kuna umuhimu wa kuwakumbusha kwamba hawa wabeba box wakiwa wanarudi sio tu wanakuomba mkutane airport wakumbushe jinsi ya kuvaa kama utawaweka kwenye glob sasa ona huyu mtu anavyo chambwa humu, na joto lote hili anafikiri yuko kwenye oven jikoni? mwambiye angekuazima ile fulanazzz angetoka fresh kama kishtobe

    ReplyDelete
  20. nimekupenda ghafla issa,,,karibu bongo je umeoa?annon mmoja apo eshakoment ze way ulivo

    sasa jina lake ni "chef" au hii ni title ya ile ya upishi?ingawa ankal kaandika "MAPICHI" i hope ni mapishi

    ReplyDelete
  21. sijaelewa inamaanisha wewe kazi yako ni mapishi/kupika hotelini au?

    ReplyDelete
  22. Jamaa sura yote inameremeta! Maana joto dar ni 33C! Babu hukuangalia hali ya hewa kwenye mtandao na kuweka kashati au kafulana kakutua nako bongo?? Mweeeeeeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  23. Raisi juzi alipokua anafungua shule shinyanga alisema watanzania ni mabingwa wa alie juu mshushe chini hapa sio swala la ufahari wa ulaya chef kajitolea kufundisha bure nani ana moyo huo? unajua thamani ya utaalamu wa mapishi kueni na heshima nyie wamatumbi acheni majungu yasio na msingi nguo si yake yaani uswahili mtupu

    ReplyDelete
  24. Watu wanaotoa elimu bure kwa uma badala ya kuwaheshimu mnaanza majungu unajua chef training inagharimu kiasi gani? nani aliejitokeza kushirikiana ujuzi na watu tena bure inakatisha taama kweli hatutaendelea kwa staili hii ni nini alichijisifu kijana wa watu mtamvunja moyo chef isa usisikilize majungu kaza moyo fundisha watanzania wenzako

    Mama J

    Canada

    ReplyDelete
  25. Aisee ile dawa ya mafua kweli kiboko mi mafua yamekata ngoja niendelee kutumia nione mwisho wake ila aisee sasa matumaini yapo

    ReplyDelete
  26. Chef Usife moyo we ni wapekee jitolee bure kufundisha ujuzi wako mungu atakulipa bure big up kijana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...