Mcheki kwenye libeneke lake la mapichi
Home
Unlabelled
chef issa ndani ya nyumba!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi fungua ofisi uwanja wa ndege.
ReplyDeletemapichi!!
ReplyDelete(US Blogger)
Wee chief Issa, usilete mambo yako ya ulaya hapa bongo.sasa hilo pluneki la nini na joto la Dar.kama huna nguo za summer sema,tukupe za tandale.sie hatujali umetokea wapi.hahaha.utani tu mkuu.
ReplyDeleteAnkal sasa hiyo totol neki ya shefu vp tena na joto la tauni hapo...kweli bongo tambarare...
ReplyDeleteyani michuzi umependeza sana leo umekuwa na mvuto sana si uwe unavaa namna hii bonge gentleman duh chef naye si mchezo kapendeza mno yani mmefanana ghafla mtadhani mapacha
ReplyDeletemanka wa canada
kaka michuzi asante sana kwa kututambulisha chef yuko bongo karibu sana tanzania
ReplyDeletemhh kazi ipo !!mtaani
ReplyDeleteAnkal Misoup why is the guy wears a pull neck in Dar? isn't cold out there?
ReplyDeletekaka mithupu nasikia zuma amezaa nje ya ndoa licha ya kuwa na wanawake 3
ReplyDeleteKumbe Chef Issa umekaa ki-spotspot!! naona gym sana kumbe ukiwa hapa manchester.
ReplyDeleteHuyu ni chef issa wa kategile au?
ReplyDeleteKaribu sana Issa na hongera sana kwa shule na kazi zako za hapa na pale, I have sent you an e-mail, please let's meet before you leave.
ReplyDeleteJamani mnaouliza kuhusu pull neck jibu mnalo maana chef katoka kwenye barafu na sasa baridi ni kali sana so bado anasikia baridi na isitoshe anatenbea ndani ya Ac na analala na ac itachukua muda kidogo kuzoea joto pia mbona watu kibao wanatembea na makoti ya suti jua kali? hahahahaa che karibu town jibu mail yangu pls
ReplyDeleteChef unakula nondo au unapiga chuma maana naona mwili wako umekaa kijapan hahahahhaaaa safi sana usionje onje ukawa na kitambi pls
ReplyDeleteMZee sasa inabidi tuonane pls tufanye mautundu pamoja au utatukimbia soon pls jipange ili nasi tufaidi shule yako mkuu
ReplyDeleteMbeba Box karudi kuwalisha sasa Kusoma raha. Haya wala vumbi kosoeni sasa.
ReplyDeleteYale yale ya John Mashaka na 3 piece suit yake Bongo.
ReplyDeleteToeni zenu nyie hapa,mbona ALIPOKUJA JAYZ NA WAIMBAJI WENGINE KAMA HUYU ALOKUJA MWISHO SIJUI REDMAN AU XHIBIT AH!SIJUI MIMI LAKINI JUZI JUZI TU HAPO ALITINGA MABUTI YA BARIDI NA MAJACKET HAMJASEMA KITU,ILA SASA KAMA MTU MPISHI ANA UMUHIMU GANI WA KUWEKA HUMU AU JE AMEFANYA NINI CHA KUONGELEWA,MAMBO MENGINE UTOTO TU,ULAYA WATU WAPO LONG FUCKEN TIME NA WANAMADEGREE YA KUTENGENEZA BOMU NA HAWAJATOA PICHA ZAO SIO,UTAFIKIRI KUSADIKIKA WATU WENGINE BWANA!
ReplyDelete105 F degrees mtu na pamba tu, hakuna kusweat wala nini, michuzi kuna umuhimu wa kuwakumbusha kwamba hawa wabeba box wakiwa wanarudi sio tu wanakuomba mkutane airport wakumbushe jinsi ya kuvaa kama utawaweka kwenye glob sasa ona huyu mtu anavyo chambwa humu, na joto lote hili anafikiri yuko kwenye oven jikoni? mwambiye angekuazima ile fulanazzz angetoka fresh kama kishtobe
ReplyDeletenimekupenda ghafla issa,,,karibu bongo je umeoa?annon mmoja apo eshakoment ze way ulivo
ReplyDeletesasa jina lake ni "chef" au hii ni title ya ile ya upishi?ingawa ankal kaandika "MAPICHI" i hope ni mapishi
sijaelewa inamaanisha wewe kazi yako ni mapishi/kupika hotelini au?
ReplyDeleteJamaa sura yote inameremeta! Maana joto dar ni 33C! Babu hukuangalia hali ya hewa kwenye mtandao na kuweka kashati au kafulana kakutua nako bongo?? Mweeeeeeeeeeeeeee!
ReplyDeleteRaisi juzi alipokua anafungua shule shinyanga alisema watanzania ni mabingwa wa alie juu mshushe chini hapa sio swala la ufahari wa ulaya chef kajitolea kufundisha bure nani ana moyo huo? unajua thamani ya utaalamu wa mapishi kueni na heshima nyie wamatumbi acheni majungu yasio na msingi nguo si yake yaani uswahili mtupu
ReplyDeleteWatu wanaotoa elimu bure kwa uma badala ya kuwaheshimu mnaanza majungu unajua chef training inagharimu kiasi gani? nani aliejitokeza kushirikiana ujuzi na watu tena bure inakatisha taama kweli hatutaendelea kwa staili hii ni nini alichijisifu kijana wa watu mtamvunja moyo chef isa usisikilize majungu kaza moyo fundisha watanzania wenzako
ReplyDeleteMama J
Canada
Aisee ile dawa ya mafua kweli kiboko mi mafua yamekata ngoja niendelee kutumia nione mwisho wake ila aisee sasa matumaini yapo
ReplyDeleteChef Usife moyo we ni wapekee jitolee bure kufundisha ujuzi wako mungu atakulipa bure big up kijana
ReplyDelete