Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi zawadi Bibi Taifa Khamis (70) mkaazi wa Chumbuni Zanzibar kwa kushiriki kwake na kumaliza salama Matembezi ya Mshikamano ya kuadhimisha miaka 33 ya Chama cha Mapinduzi yaliyoanzia katika Uwanja wa Mshikamano Kibanda Maiti na kumalizikia katika Uwanja wa Mabata Magogoni Zanzibar.
Picha na mdau Amour Nassor.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nimefurahia kanga, kofia, na suti za michezo za kijani na manjano. ninafikiri mwaka huu tutazimia!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...