modo wa kiume akiwa ndani ya ze fulanazzzzz ya globu ya jamii wakati wa uzinduzi wa clothing line hii usiku wa kuamkia leo wakati wa onesho kabambe la lady in red. hii imewezekana kwa ushirikiano nna fabak fashions ya mama wa mitindo asia idarous na mai hazbendi wake khamsin alkaag ambaye ni mwenyekiti wa fabak fashions. globu ya jamii inatoa shukurani za dhati kwa asia idarous na kaka khamsin kwa libeneke hili
fulanazzz za globu ya jamii
mamodo wamhiri wa kiume wakionesha mambo ya globu ya jamii
globu ya jamii clothing line ikipandishwa jukwaani
mamodo wa kiume wakiwa ndani ya fulanazzz za globu ya jamii





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 32 mpaka sasa

  1. Hongeraaaaa!

    ReplyDelete
  2. Hapana kwa kweli tshet with poor logo design,poor creativity they could do better than that,michuzi blog ni kubwa sana tanzania and the design imei let down, it looks like tshet zile za makongamano au za charity walk ambayo wear once and throw away,will never wear this cheap product!!! michuzi tafuta designers ambao wako serious bwana vitu gani ivo??? utadhani unafanya advert!!!! tengeneza polo tshet with logo ndogo za kushonea ivi etc etc...usinibanie comments zangu!!!

    ReplyDelete
  3. I dont know MAN, I think you are loosing your mind, SPONSORSHIP yes, but fashion line, Mmmhh!

    I must be open to you my bro, it isn't such a good idea,

    This is my suggestion to you, change it to CHARITY Course instead, I will buy the idea,

    BUY THE FULANAZ, kwa kuwasaidia ie YATIMA, walioathirika na mafuriko nk, but a fashion line, MAN! you are loosing it,

    If lets say you had the fulanaz, mashati ya mitindo, nguo na nk, then thats cool, but to give it a name like MICHUZI BLOG, still would be wrong, it becomes a bland, or if you could say WADAU FASHION LINE, then that could be accepted as such...

    Michuzi BLOG, it is totally wrong only if for promotion of your blog, or charity works, again for the same purpose of helping and promoting,

    thats my assessment BRO! Respect!

    ReplyDelete
  4. Ankal hao wachangiaji wa juu kabisa wamesema vizuri, logo kubwa sana halafu jina limekalia kutangaza blog sio kama nguo mtu anaweza kuvaa kikawaida. Ushauri wangu ungetumia Michuzi tu wambie wakuandikie logo ya jina michuzi kwa italics then naamini itapendeza zaidi.

    Nawasilisha.

    ReplyDelete
  5. NDIO KAKA KAZA BUTI KOMAANAO

    ReplyDelete
  6. Nakupenda kaka michuzi lakini nitakuwa sijakusaidia kama nitasifia kitu kisichokuwa na thamani, ur design and quality of the t-shits are poor,.... viboreshe na ulete vitu bora zaidi na badala ya kuandika blog ya jamii michuzi pengine ubadilishe jina na kuandika... wadau wa blog ya jamii ya michuzi...
    Na pia tengeneza t-shirt za kike pia na tops za wanawake.

    ReplyDelete
  7. jamaniiii mahandsomee weeeeeeeee kaka michuzi plz uingekuwa vyema ukatuma majina yao hata tukawa gugo kwenye fesibuku jamani wakaka wtamu hivi heyyyy bongoo tambalaleeee

    ReplyDelete
  8. i like the idea ya kufungua clothing line ila ungetulia utafute logo nzuri creatin nzuri siku hizi kuna madogo kibao bongo wanafanya ma logo etc alafu ungefanya uzinduzi.kwa wanaosema charity sio lazia kila kitu kiende charity na michuzi anashiriki misaada mingi tu.,

    ReplyDelete
  9. Wajanja waneshavamia...Globu imepata umaarufu watu wameshaanza za kuleta kutengeneza faiada kwa jina la ankal...be careful ankal, mdiyo mwanzo wa kupoteza uelekeo na madhumuni ya blog!! waache hao wafanyabiashara watumie majina/brand zao kufanya biashara zao..si jina la hii blog ya jamii!!

    ReplyDelete
  10. ahhhh...Madam Ritha!! a one classy woman i love!!!my role model indeed..a hot mama!!

    ReplyDelete
  11. Hivi huyo dada mshamba mshamba ilikuaje hadi wakampeleka BIG BROTHER!!??ni vipi vigezo vya kupelekana huko manaake hayumo hata elfu kumi bora ya warembo ninaowajua mimi huko bongo mwambie kazi kulazimisha ukaladi tu eti ooh mimi halfcast ,mara mimi sijawahi deti mtu mweusi na wala haitatokea.Mbona mwenyewe sio bomba na hana mvuto hata chembe...JAMANI WABONGO WENZANGU EBU TUACHAGE HUKU KUBEBANABEBANA NDIO MATOKEO YAKE BONGO NZIMA SASA KILAKITU UKIKICHUNGUZA UTAKIKUTA KWALITE MBOVU AU FEKI KABISA SIRAHISI KUKUTA KISICHOKUWA NA KWALITE DUNI KUANZIA MAMISS,MAGAZETI,SERIKALI,JESHI LA POLISI HADI HAO WAWAKILISHI WETU..NAPATWA NA MASHAKA MAKUBWA KAMA ELIMU YETU NAYO SIO FEKI PIA

    ReplyDelete
  12. hii Babu kubwa Fulanazzzzz!!!
    wanauziponda wana vijiroho vya korosho kama kawaida yetu waswahili,
    Fulanazzzz! ya libeke la jamii Babu kubwaaaaaa!!!!

    ReplyDelete
  13. michuzi hizo tshirts ungeishia na michuzi tuu hapo mbele..na sio michuzi blog!..afu kuwa creative kaka tafuta na rangi nyengine pamoja na vitop vya wadada etc,...your idea is OK,,,but wametoka simple saana,namaanisha zimekuwa too plain!
    wanaokuambia ufanye charity waambie wachukue time,charity begins at home babuu!
    Ney

    ReplyDelete
  14. huyo anayemsema ELIZABETH GUPTA kama mshamba mshamba,ANGEMPELEKA DEMU WAKE HUKO....msonyooooooooooooooooooooooooo...mwache dada wa watu,hali kwako!...umeangalia na hao wengine walioshiriki???utasema ni viwango???au basi tu machuki binafsi yako???...hata huyo aliyeshinda,sidhani km kny u-handsome yupoo...?! kwenda BBA ni more than uzuri wa sura,eboooh!

    ReplyDelete
  15. WADAU KUNRADHI KUINGILIA ANGA ZENU AMBAZO MIE HUJA KWA NADRA SANA, HASA LINAPOTOKEA SWALA LINALONIGUSA BINAFSI KAMA HILI.

    NASHUKURU WADAU WOTE MLIOTOA MAONI JUU YA FULANA HIZI AMBAZO ZIMETOKA SI KWA LENGO LA KUFANYIA BIASHARA ISIPOKUWA KUENDELEZA LIBENEKE TU. VILE VILE MTU HUJIKUNA MKONO UNAPOFIKIA.

    NAWASHUKURU PIA WADAU WALIO HODARI KUPONDA KILA KINACHOPITA MBELE YAO, NAMI NAWAHAKIKISHIA KUWA HUWA SISUMBUKI SANA NA WADAU WA AINA HIYO MAANA WENGI HUTOA MAWAZO MAZURI TU, KINACHOKOSEKANA NI WAZO MBADALA BAADA YA KUSAGA. NADHANI HILO MTAFANYIA KAZI.

    ZAIDI NIKUMBUSHE ILE STORI YA SENENE. YAANI SENENE WAKISHATIWA KAPUNI AMA KWENYE CHOMBO CHOCHOTE KILE, HUWA HAKIFUNIKWI KUZUIA WASIRUKE, JAPO KARIBU WOTE WAPO HAI. NA HII NI KUTOKANA NA SABABU SENENE HUWA HAMRUHUSU MWENZIE ATOKE, WANABAKIA WAMENG'ANGA'NIANA KIKAPUNI HADI MWISHO WA SIKU. KILA SENENE MMOJA ANAPOJARIBU KUKWEA KUTA ZA KIKAPU HUJIKUTA ANABAMBWA NA WENZIE NA KURUDSISHWA CHINI ILI WOTE WABAKIE HUMO HUMO.

    NA HII NDIYO TABIA YA BAADHI (NASISITIZA BAADHI) YA WADAU AMBAO KAMA SI KUTAKA KUCHAFUA HALI YA HEWA, BASI WANASHINDA KUTWA KUKATISHA WATU TAMAA KWA KUKOSOA KITU AMA JAMBO AMA MDAU MWENZAO UTADHANI WAO NI WAKAMILIFU AMA KUNA SEHEMU KUNA KITABU KILICHOANDIKWA SHERIA YA KILA JAMBO DUNIA LIWE VILE WATAKAVYO.

    NASHUKURU SIKU HIZI 'SENENE' WANAENDA WAKIPUNGUA, JAPO KUNA CHEMBECHEMBE KAMA HIZO HAPO JUU.

    NINACHOTAKA KUSEMA NI KWAMBA TAFADHALI WADAU WENYE TABIA HIZO JITAHIDINI MPUNGUZE 'USENENE' KWANI HATA WENZETU WANATUCHEKA KWA KUONEKANA TUNA ROHO ZA KOROSHO DHIDI YA WENZETU AMA MACHINOOO KULIO WENGINE.

    VINGINEVYO MIE KAMA NILIVYOSEMA AWALI SINA NENO KUPIGWA MADONGO, MRADI HALI YA HEWA HAICHAFULIWI. VILE VILE NAWATAKIA HERI HAO WALIOJAALIWA UKAMILIFU KWA KILA JAMBO LIPITALO MBELE YAO.

    MWENYE MACHO ASIKIE, NA MWENYE MASIKIO AONE.

    WAKATABAHU...

    ReplyDelete
  16. Michuzi kaka yangu mbona hii reply yako hapo juu inaonyesha kweli hukufurahishwa na comments za wadau wengi. Mbona maoni karibu yote hapo juu yanoyohusu hii clothing line ni constractive comments? from what i see, they've all given you their proposed ideas; what they think you should to do to improve your work.
    Nimepitia hizo comments zote hapo juu (zinazohusu issue ya clothing line) sijaona hata moja yenye usenene; most of them recommended somthing...
    Pia nafikiri wadau wengi hapo juu (including me) hatukujua kama hii clothing line siyo ya biashara. Ni hayo tu kaka yangu

    Hongera sana kwa kazi yako

    K

    ReplyDelete
  17. My friend is not happy I can read through the lines. Kwa kweli na mimi ukosoaji umenishtua kidogo.

    Hizo tshirt ziko bomba na jina alilochagua linaitambulisha blog ya jamii kwa usahihi. Kuweka jina lingine isingeleta maana nzuri.

    Usikate tamaa hizi ni comments za kawaida tu zichue kama challenge kwenye kazi yako.

    Libeneke liendelee.

    ReplyDelete
  18. Bwana Michuzi ile tisheti yako ya trade mark ni nzuri kuliko hizo ulizozindua. People will buy your trade mark ti-shirt than these one. When I saw someone on the street wearing a similar t-shirt like yours, inanikumbusha hii blogu. Stick with what you do best sir.

    ReplyDelete
  19. We Anon wa 03:55, wacha chuki dhidi ya Elizabeth. Moshi we are very proud of her. Ana elimu kuliko wewe na ni mkweli na anapenda na kuwaheshimu watu wote kwa sisi tunaomjua tangu shule na baadaye. HATERS kama wewe mna "issues" na matatizo yenu. Zipeleke chuki zenu kwenye blogu za haters wenzenu.

    ReplyDelete
  20. Michuzi,

    Mtu hujikuna unapofikia, lakini kwengine hakukunwi ndugu yangu.

    Kimekuuma sana hadi kucomment, kwa hasira na kashfa kiasi hicho, pole sana kaka..

    ReplyDelete
  21. Kaka unatisha kama ukoma!! Nimeikubali sana hii clothing line ya libeneke. watu wasijali muonekano wa shepu ya nembo, au wazo la kutoa ze furanazzz za libeneke, wanatakiwa kujali na kutoa big up kuwa libeneke sasa linewakilishwa hata kwa furanazzzzz, na wala sio biashara!!! mi naona imekaa mwake tu mbona!! sio hatari wala nini!!
    kaka sasa nitapaje copy ya hiyo furanazzz??
    Mdau wa pajazzzz

    ReplyDelete
  22. Ankal, congrats, you can not please all the people all the time, your t-shirts are beautiful niko US lakini nitaagiza waniletee good fashion show, you are the best
    keep up the good work.

    Mdau US

    ReplyDelete
  23. acheni hizoooo ati angeandika michuzi tuu ebooo hainogi wala haileti maana raha ni hivyo hivyo zilivyoandikwa kama kuna ambaye haijui blog akiziona kupitia tshirt hizi anafaidika na libeneke biashara matangazo alah!! kwa nini siku zoooote msingeleta hii idea?? mmesubiri kaweka then mnaanza sijui michuzi ikae hivi sijui ushuzz gani chukueni time kulee fikirini jinsi ya kuboresha laifu zenu na sio kujifanya mnajua marketing saana next time sifieni ishu za watu sio kujidai ma-director hapa shwain sana!!! naongeza msisitizo BIASHARA MATANGAZO FULL STOP!!

    ReplyDelete
  24. mweee michuzi leo kweli una hasira adi umejibu ivo?????duh kumbe uko pembeni mwa laptop nn

    ila ni ushauri tu jamani sio MADONGO wee ankal mweee basi tutakua hatukushauri maana unaona madongo tu aya!!

    ila sawa unajikuna pale uwezapo ila ishet haivutii kwakweli...ila nikuulize zitakuwa za rangi tofauti-tofauti???

    pole na hongera

    ReplyDelete
  25. Hapana kwa kweli tshet with poor logo design,poor creativity they could do better than that,michuzi blog ni kubwa sana tanzania and the design imei let down, it looks like tshet zile za makongamano au za charity walk ambayo wear once and throw away,will never wear this cheap product!!! michuzi tafuta designers ambao wako serious bwana vitu gani ivo??? utadhani unafanya advert!!!! tengeneza polo tshet with logo ndogo za kushonea ivi etc etc...usinibanie comments zangu!!!

    ReplyDelete
  26. huyo anayemsema ELIZABETH GUPTA kama mshamba mshamba,ANGEMPELEKA DEMU WAKE HUKO....msonyooooooooooooooooooooooooo...mwache dada wa watu,hali kwako!...umeangalia na hao wengine walioshiriki???utasema ni viwango???au basi tu machuki binafsi yako???...hata huyo aliyeshinda,sidhani km kny u-handsome yupoo...?! kwenda BBA ni more than uzuri wa sura,eboooh!

    ReplyDelete
  27. huyo anayemsema ELIZABETH GUPTA kama mshamba mshamba,ANGEMPELEKA DEMU WAKE HUKO....msonyooooooooooooooooooooooooo...mwache dada wa watu,hali kwako!...umeangalia na hao wengine walioshiriki???utasema ni viwango???au basi tu machuki binafsi yako???...hata huyo aliyeshinda,sidhani km kny u-handsome yupoo...?! kwenda BBA ni more than uzuri wa sura,eboooh!

    ReplyDelete
  28. Nakupenda kaka michuzi lakini nitakuwa sijakusaidia kama nitasifia kitu kisichokuwa na thamani, ur design and quality of the t-shits are poor,.... viboreshe na ulete vitu bora zaidi na badala ya kuandika blog ya jamii michuzi pengine ubadilishe jina na kuandika... wadau wa blog ya jamii ya michuzi...
    Na pia tengeneza t-shirt za kike pia na tops za wanawake.

    ReplyDelete
  29. Michuzi kaka yangu mbona hii reply yako hapo juu inaonyesha kweli hukufurahishwa na comments za wadau wengi. Mbona maoni karibu yote hapo juu yanoyohusu hii clothing line ni constractive comments? from what i see, they've all given you their proposed ideas; what they think you should to do to improve your work.
    Nimepitia hizo comments zote hapo juu (zinazohusu issue ya clothing line) sijaona hata moja yenye usenene; most of them recommended somthing...
    Pia nafikiri wadau wengi hapo juu (including me) hatukujua kama hii clothing line siyo ya biashara. Ni hayo tu kaka yangu

    Hongera sana kwa kazi yako

    K

    ReplyDelete
  30. I dont know MAN, I think you are loosing your mind, SPONSORSHIP yes, but fashion line, Mmmhh!

    I must be open to you my bro, it isn't such a good idea,

    This is my suggestion to you, change it to CHARITY Course instead, I will buy the idea,

    BUY THE FULANAZ, kwa kuwasaidia ie YATIMA, walioathirika na mafuriko nk, but a fashion line, MAN! you are loosing it,

    If lets say you had the fulanaz, mashati ya mitindo, nguo na nk, then thats cool, but to give it a name like MICHUZI BLOG, still would be wrong, it becomes a bland, or if you could say WADAU FASHION LINE, then that could be accepted as such...

    Michuzi BLOG, it is totally wrong only if for promotion of your blog, or charity works, again for the same purpose of helping and promoting,

    thats my assessment BRO! Respect!

    ReplyDelete
  31. Hapana kwa kweli tshet with poor logo design,poor creativity they could do better than that,michuzi blog ni kubwa sana tanzania and the design imei let down, it looks like tshet zile za makongamano au za charity walk ambayo wear once and throw away,will never wear this cheap product!!! michuzi tafuta designers ambao wako serious bwana vitu gani ivo??? utadhani unafanya advert!!!! tengeneza polo tshet with logo ndogo za kushonea ivi etc etc...usinibanie comments zangu!!!

    ReplyDelete
  32. Ah michuzi mi hizo ze fulanazz wala sishuhuliki hasa ungetoa za kusaidia yatima ingekua bora,Umejitahidi ila ile video ulorikodi hujanijibu kama ilikuwa baharini mbona inayumba sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...