Mdau Makulilo Jr. amejitosa kwenye mashindano yafahamikayo kama DELL SOCIAL INNOVATION COMPETITION ambayo yanashindanisha social issues (ideas) ambapo mshindi atapata dola 50,000 kuweza kutimiza project yake ambayo ameelezea.

Yeye akiwa ni mmoja kati ya hao washindani, anaomba wadau tumpigie kura na kutoa maoni ambayo yatasaidia kuingia katika 10 bora na hatimaye kuinuka kidedea.

Unachotakiwa kufanya ni fungua tovuti hiyo hapo chini, na kisha jisajiri ili uweze kutoa maoni yako na kupiga kura yako (Join the community to vote and comment on your favorite ideas! )

http://www.dellsocialinnovationcompetition.com/ideaProfileSubmitted?cn=MAKULILO

Unaweza kuona ideas za watu wengine pia hapa

http://www.dellsocialinnovationcompetition.com/apex/ideaList?lsi=1

Haya tena wadau na tumsaidie mdau Makulilo Jr. ambaye amekuwa mstari wa mbele kusaidia wadau kujua mambo ya nondozzzz kupitia libeneke lake la:
Blog www.makulilo.blogspot.com
URL http://scholarshipnetwork.ning.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hongera kijana kwa kuingia mashindanoni. Sijui kama utashinda, ni kukomaa tu. Mungu atakusaidia kwa juhudi zako

    ReplyDelete
  2. hiyo figure hapo juu haijakosewa ni elfu hamsini kama ilivyoo andikwa au??
    JIVAZ

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...