Mdau Makulilo Jr. amejitosa kwenye mashindano yafahamikayo kama DELL SOCIAL INNOVATION COMPETITION ambayo yanashindanisha social issues (ideas) ambapo mshindi atapata dola 50,000 kuweza kutimiza project yake ambayo ameelezea.
Yeye akiwa ni mmoja kati ya hao washindani, anaomba wadau tumpigie kura na kutoa maoni ambayo yatasaidia kuingia katika 10 bora na hatimaye kuinuka kidedea.
Unachotakiwa kufanya ni fungua tovuti hiyo hapo chini, na kisha jisajiri ili uweze kutoa maoni yako na kupiga kura yako (Join the community to vote and comment on your favorite ideas! )
http://www.dellsocialinnovationcompetition.com/ideaProfileSubmitted?cn=MAKULILO
Unaweza kuona ideas za watu wengine pia hapa
http://www.dellsocialinnovationcompetition.com/apex/ideaList?lsi=1

Haya tena wadau na tumsaidie mdau Makulilo Jr. ambaye amekuwa mstari wa mbele kusaidia wadau kujua mambo ya nondozzzz kupitia libeneke lake la:
Blog www.makulilo.blogspot.com
URL http://scholarshipnetwork.ning.com/
Blog www.makulilo.blogspot.com
URL http://scholarshipnetwork.ning.com/
Hongera kijana kwa kuingia mashindanoni. Sijui kama utashinda, ni kukomaa tu. Mungu atakusaidia kwa juhudi zako
ReplyDeletehiyo figure hapo juu haijakosewa ni elfu hamsini kama ilivyoo andikwa au??
ReplyDeleteJIVAZ
nimeona kumbe ni dola
ReplyDelete