Home
Unlabelled
IT & Communication Summit 2010 launched
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kaka misoup mimi hoi kwa dada mwenye viatu vya zambarau kapinda kidogo jamani kaolewa hama la ankal plse naona unafaidi kwa mikono mama misoup cjui anaona hizi picha au mshipa wa wivu ushaukata cku nyingi make m mmmmmmh
ReplyDeletePAUL Mashauri unatisha,mpiganaji sana,nakumbuka tangu tukiwa wote form one,Shule ya sekondari ya Watoto wenye akili za kipekee,MZUMBE mwaka 1995,na tukiwa wote chuo kikuu bora kuliko vyote East Africa,UDSM na africa(Sina hakika kwa duniani.Hongera umeweza ku-organise kitu kama hicho,safi!!UPO JUU kiongozi
ReplyDeleteMDAU Mirambo No 3
MZUMBE SEC,1995-1998
some konozz with some Wia staff, tehehe --hehehe..he.
ReplyDeleteMichuzi umezubaa wewe.
ReplyDeleteWe badala ya kuweka konozzzz kwenye NYONGA kama alivyofanya huyo mwenye viatu vya zambarau, we unaweka mabegani!
Michuzi vipi wewe!? Aaaa!
baba weka konozi kwenye makalio uone kama mama misupu hakutoi dima
ReplyDeleteHaya partner . . . hongera sana.
ReplyDeleteUmesahau leo viatu vya njano au pink . . . . No kusuka mabutu na kuweka shanga kubwa kichwani . . .
Partner
Kawivu kamenishika kwani uongo? Du Mithupu unafaidi..sijui namimi nianzishe bulogu?
ReplyDeletekila siku nasema totoz zipo bongo watu wanabisha! si mnaona wenyewe hizo nyonga.....
ReplyDeleteKaka huyo dada wa kushoto kwako anaonekana bomba kinoma noma!! na hapo kavaa suruali je angekuwa na kimini pajazzzzz si ingekuwa soo bin mtafutano!! hapo kaka lazima kitu kiende kingi kwi kwi kwi kwi teh teh teh, michuzi una raha wewe!!!!
ReplyDeleteMdau wa P&T
hizi comment zinanivunja mbavu ..eti misupu unafaidi! nimejichekea tuu sijui yule mdau wa pajazz yuko wapp? manake yule ni kiboko ngoja aione hii lol
ReplyDeletehahahaaaa uwiiii tulimisi izi burdani za konozzz kwa totozzz
ReplyDeleteila dada ulievaa trouser una shep mardadiiiii, na wewe uliemshika mwezio kwa UCHOKOZI kiunoni daaaah!
uwiii mzee wa libeneke uwiii
ila uyu kaka mashauri anajitaidi mno mambo yake yako safi ktk kazi kwakweli ubarikiwe
udsm graduate
stuff=staff
ReplyDeleteASANTE ANKAL KWA KUTUFAFANULIA, SASA TUKIMUONA MWANDISHI NA JEZI ZA CCM KWENYE MIKUTANO YETU OLE WAKE KWETU HUYO NI SHUSHUSHU.
ReplyDeleteKaka wewe c unajifanyaga mgumu wewe, sasa kulikoni suruali imetuna hiyo kwenye lisani mbele hapo?? we unadhani hiyo maneno kushoto kwako hapo mchezo??? leo ndo ujue hiyo maneno haina mjanja hiyo. teh teh teh teh michuzi umepatikaaaana leo. na uombee mai waifu wako asiione hii post manake hatakuamini tena.
ReplyDelete