Wadau kunradhi,
Mratibu wa Miss Ilala Jackson Kalikumtima kaipigia Globu ya Jamii sasa hivi kuarifu kuwa email yake imeibwa na matapeli ambao sasa wanatumia jina lake pamoja na orodha ya ndugu, jamaa na marafiki kutaka kujipatia pesa kwa ujanja wa kizamani.
Anaomba mtu yeyote atayepokea email ya aina hiyo hapo chini ajue sio yeye ni hao matapeli ambao hadi leo wanadhani kila mtu mshamba kama wao. Yaani utapeli wa kizamaaaani bado unaendelezwa na punguani wachache
------------------------------------------------
Hello,
I am writing you in a tensed mood, I had travelled to Wales to visit a new researchers complex in Swansea (Imperial College, Gallery Section, Wales) and unfortunately for me the hotel i lodged got razed by fire.
I am so confused right now, I don't know what to do or where to go. I didnt bring my phones here and the hotel telephone lines were disconnected during the incident. So I have access to only emails.
Please can you lend me £960 ($1,557.54 USD for me to relocate to another hotel and also get another flight ticket. As soon as I get home I would refund it immediately.
Please I need you to get back to me as soon as possible.
I am looking forward to hearing from you.
Thanks and Regards,
Jackson Kalikumtima

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hata mimi nilipokea email ya aina hiyo (maelezo) lakini ilitoka kwa rafiki yangu ambaye yuko London. Niliitilia mashaka email ile kwa sababu najua huyo rafiki yangu kwao mambo si mabaya. Wala asingepata shida ya kuniomba mimi akijua sina kitu. Mpaka leo sipati email zake wakati si kawaida.

    ReplyDelete
  2. huenda Kalikuntima haijibiwa hio email ila wametumia inayofanana na yake kwa kumalizia na jina lake. Na kama ni kweli wameiba yake huenda yeye pia alitoa taarifa hizo kwa matapeli wanaotuma msg kuwa usipothibitsha email yako eti itafungwa. Watakutaka uweke username yako na password yako, km ni hivyo basi ndokilichotokea. Hata mimi napata sana msg aina hii kutoka kwa watu ninaowafahamu ila nikiangalia email huwa sio sawa na zao, wanabadili kidogo ktk search engine.
    Umakini ni MUHIMU ndugu zangu

    ReplyDelete
  3. HIYO NI KITU YA KAWAIDA HUKU MAJUU, IT IS NOT A NEWS. KINACHOFANYIKA NI KUWA UNAWEZA KULETEWA EMAIL YA KITAPELI NA WEWE UKIFUNGUWA TU INA-GENERATE EMAILS KIBAO KWENDA KWA CONTACT ZAKO KUTOKA KWENYE EMAIL ADDRESS BOOK YAKO NA YULE PIA ALIYEKUTUMOIA ANAPATA ZOTE ZILE ULIZO-GENERATE NA UNAKUWA SASA NA WIGO MKUBWA WA KUJARIBU BAHATI YAKE KATI YENU AKIWEMO ZEZETA ATAIBIWA, SO DONT OPEN AN EMAIL THAT YOU ARWE NOT SURE WHERE IS IT COMING FROM. KWANZA UTAMPELEKA MTU PESA ULAYA TOKA TANZANIA KWA VIPI, KWANZA SI UNABIDI U-ESTABLISH HUYU MTU KWELI KENDA HUKO? HUO NI WIZI WA MWAKA 47, MJINGA ATAIBIWA MWENYE PESA ZA UFUSADI HAZINA KAZI, LAKINI PESA YA JASHO UTATUMA OVYO TU, HAINGII AKILI HATA MWA ZEZETA, N

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...