
Katibu Mkuu wa chama cha Tanzania Labour Party John Komba (kushoto) akiwa na mwenyekiti wake Mh. Augostino Lyatonga Mrema wakati wa uhai wake. Habari zinasema Mh. Komba amefariki jana katika hospitali ya taifa ya Muhimbili. Komba alikuwa amelazwa akiwa amepooza mwili upande mmoja. Mola ailaze mahali pema peponi - Amina
yani kwa kweli nilishtuka nikadhani mrema huh! poleni sana wafiwa
ReplyDeletedah jamani babu mrema kachoka sana.kwa nini asistaafu tu akala pensheni yake .yani miaka tote hii ndo tuseme aja save ???
ReplyDeletePole tlp yaani viongozi wakuu wote ndo hivyo ..
ReplyDeleteJAMANI MBONA USO WA MHESHIMIWA UMEBABUKA HIVYO!!!DUU NILIDHANI NI MREMA KAFARIKI NILISHTUKA..MDAU..MREMA PUMZIKA SASA URAISI SIO RAHISI TENA KWAKO..
ReplyDeleteduh yaani watu kufa KOMBA HAWAJASHTUKA,WALIFIKIRI MREMA WAKASHTUKA,LAKINI HATA MIMI MAANA NILISIKIA MREMA AMETOKA KUFANYIWA UPRESHENI,DOH HUYU HATA SHEHA HAPATI KACHOKA HIVI,.Lakini alifurahisha siku alopiga suti na raba,
ReplyDeletemweshimiwa nini tena.kweli ni bora angekuwa ccm angechukua chake mapema. ooh ooi babu unatia huruma sasa. mimi nilizani wachaga washapu kumbe si wote.
ReplyDeletebabu usikate tamaa bado unaweza gombea uprezedo.wachaga tupo tutakupigia kura.
ReplyDeletelol hata agombee uprezedo wa kilimakiaro hapati ushauri astaafu tu siasa mchezo mchafu sana wamekuroga
ReplyDeleteSeriously, Mrema looks sick! I hope amejipima kila kitu. Mzee unahitaji mbege na supu ya makongoro kila siku urudishe afya. For real isingekuwa kofia hiyo (sijui inaficha nini?) NISINGEMTAMBUA.
ReplyDeletemmh mrema anahitaji chlorophyl asafishe damu..
ReplyDeletengozi haina mwelekeo...
au kibaraka shee ni cha long timeee