Mkurugenzi wa Uchaguzi katika Tume ya Uchaguzi Rajab Kiravu akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo mchana kuhusiana na suala la mgombea binafsi na ugawaji wa majimbo mapya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. kaka michuzi samahani tunaomba utuwekee tena ile picha ya wale wazungu waliokuwa wananunua filamu ya fake pastors,then mmoja wapo alivaa tshirt ya tanzania.sio siri tumeipenda sana ile tshirt tunataka tuiangalie upya tupate sample.
    ni sisi wadau,tafadhali.

    ReplyDelete
  2. Ankal umekosea

    Sisis tusiofungamana na upande wowote tulitakiwa tuhabarishwe Mheshimiwa amesema nini juu ya hilo jambo ili tujue kama tunweza kuingiza timu kama wagombea binafsi.

    Sisi wengine hatuna imani na chama chochote na tunahitaji private candidacy ili tuweze kuja saidia kuleta changamoto za maendeleo kupitia huu mchezo wa siasa.

    (US Blogger)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...