Bosi wa Masoko wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL), David Minja akizungumza usiku wa kuamkia leo katika kiota cha maraha cha Savannah Lounge cha Paradise City hotel jijini Dar wakati wa uzinduzi wa chupa mpya ya Redds. Kushoto ni Meneja wa kinywaji cha Redds Kabula Nshimo.

Kiongozi wa Bendi ya Machozi, Judidh Wambura
‘’Lady JD akiimba na msanii wa baendi hiyo Choniko Furaha

Hashim Lundenga akimmwagia sifa zake mwali
mpya akiwa anakula konozzz na MC wa shughuli Joketi
kilaji cha redds premium lager kimekuja na muonekano mpya kwenye uzinduzi mahususi uliofanyika usiku huu kwenye mnuso wa nguvu ulioandaliwa na TBL kwenye kiota cha maraha cha savannah lounge kilichopo ndani ya hoteli bomba ya Paradise City ghorofa ya tatu ya jengo la benjami william mkapa towers mtaa wa azikiwe avenue jijini dar na kuhudhuriwa na mamia ya wadau ambao wameonesha kufurahia muonekano mpya wa mwali huyu
bosi wa masoko wa TBL David Minja (shoto) akiwa na meneja wa Kilimanjaro lager George Kavishe (kuume) na meneja wa Safari lager Fimbo Butala (pili kuume) na mdau wakifurahia sherehe za kumfichua mwali redds usiku huu katika savannah lounge
Miss Tanzania 2009 Miriam akiwa na wenzie kwenye uzinduzi huo

Lady Jaydee na Machozi band walikuwapo kutumbuiza
meneja wa redds kabula (shoto) akiongoza jive
savannah lounge palikuwa hapatoshi
ankal na mikonozzz walikuwepo na mama wa mitindo asia idarous (kuume) na khadija mwanamboka pamoja na wabunifu mahiri wa kiume
savannah lounge hakika palipendeza
sio chupa tuu hata kopo limekuja kuwashika kivingine....













Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Uncle Michuzi unalete fresh hongera

    ReplyDelete
  2. halafu wewe michuzi si tulishakukataza mchezo wa kuweka mikono mabegani???mikono inawekwa kwenye nyonga wewe....shusha hiyo mikono nyongani bwana

    ReplyDelete
  3. Michuzi kila siku unatoka peke yako bi wifi yuwapi?acha mambo ya kizamani mshirikishe mkeo.

    ReplyDelete
  4. kama mikonoz ni pesa basi ankal ni milionea.

    (Us Blogger)

    ReplyDelete
  5. eeh Mungu mwezi wa toba utaanza lini??

    ReplyDelete
  6. Niliipenda zaidi chupa ya Redds ya zamani.. Hii ntaona kama nakunywa Ndovu..

    ReplyDelete
  7. Savannah lounge ipo wapi??

    ReplyDelete
  8. hadija mwanamboka umetoka BOMBAZ...nimependa hairdo yako mpya unatisha...

    ReplyDelete
  9. Naomba unifikishie ujumbe wangu kwa Jokate na Jide kuwa wakivaa nguo za heshima wanapendeza. Wakivaa kama walivyo sasa wanachukiza. Na pia wawe na washauri wa Mavazi. USIIBANIE HII COMMENT ila waweza ku-edit

    ReplyDelete
  10. mmmmhhhhhhh very nice. wanaume wa kichaga hapo changamkieni tenda hapo,demes wametoka mchicha................. as usually

    ReplyDelete
  11. Mdau uliyeuliza SAVANA LONJ iko wapi.
    Iko pale gorofa la BENJAMIN MKAPA TAWAZ, gorofa ya 3, bembeni ya makao makuu ya crdb benk pale mtaa wa azikiwe strit.

    Kaka hapo glasi ya Juis inauzwa shing 4,500/=.
    Shauri zako

    ReplyDelete
  12. Aisee Mithupu kuna madada wawili wana nywele na macho ya bandia wanaodai wanafanya Daily News na wewe, mbona sikuonigi nao? wako wawili hivi wanalazimisha umaarufu mjini, mmoja alishindwa kuimba kwenye shindano la Tusker fame ila ananata kama kashinda yeye. Wanapenda sana kujipendekeza kwa watu maarufu, nashangaa sijakuona nao

    ReplyDelete
  13. hadija mwanamboka umependeza sana unaonekana lady flani

    ReplyDelete
  14. 1.ivi wachaga wote walevi sana eee??

    2.afu mbona mabosi wa makampuni ya BIA ni wachaga?

    3.majaribu kina dada nyie jamani?ladyjdee na jokate na wewe pemben ya miss tz lol

    ReplyDelete
  15. Duh1 Nadhani Tanzania kuna wanawake wanzuri kushinda dunia nzima. Damn! Utafikiri malaika. Mungua ngekuwa kila mwaka anakuja kuchagua malaika duniani ingebidi awe anaishia bongo tu kila mwaka.

    ReplyDelete
  16. wachaga sio,wanapeana kazi wenyewe.cheki tbl walivyowekwa na kileo alivyokuwa mwenyekiti wa bodi.sitakaa niichague chadema,wachaga sio.wabinafsi sana.

    ReplyDelete
  17. Heheheeeeeeeeeeeee! oh bebiii oh bebiiii oooh.. abeibeeeeeeeee!! pararampapapapaaaa pararampapapa, heheeei, ah chwap chwap chwap chwap!!! wenye wivu wajinyonge dadaaa wenye wivu wajiiiinyonge, yan nachambua kama karanga dadaaa...ah gooooooooooo!! ndugu watamazamaji na wasikilizaji pia, mdau wa P&T anapiga bao la kwanza hapa ilikuwa majalo saafi kabisa kutoka kwa... ah gooooooooooooooo!!! la pili..lapili, goli la pili, ni yule yule mdau wa P&T anapiga goli la pili kama Torres vile..ah gooooooooooooh, ni goli, mdau wa P&T anapiga bao la tatu ndugu wanamichuzi.... mdau wa P&T anakwenda tena anakwendaaa anapig...ah goooooooooooooo!!!, la nne..eeeeehe!! leo kazi ipo dakika ya 45 mdau wa P&T anapiga la nne...haya mpira ni mapumziko sasa...do salaaaale!!!
    teh teh teh teh eeeenhe
    michuzi naipendeaga hapo tu..Pajazzzzzz kwa kariiiiiiibu na titizzz kwa mbaaaaali ama kweli mungu hamtupi mja wake..senkyuu man...leo imekuwa siku nzuri yaani hapa swaafi kabisa na kausingizi kanakujakuja sasa...huyo MC pajazzzzz swadakta, huyo miss pajazzzz mi nakufa mie mwenzenu salaaale. Michuzi nakuonea gere sana haya mambo unakuwaje na access nayo kaka?? na advantage vipi una-take au??
    Kaka ubarikiwe sana, poa sana kaka umenena kwa taswira tatu tu na roho yangu imepona.
    heheeeeee Pajazzzz.
    udumu kaka.

    Mda wa Pajazzzz+Titizzzzz

    ReplyDelete
  18. Sasa kaka nilikuwa naomba kitu kimoja tu. do me favor pls. hii post usiiitoe kwanza subiri subiri kidogo kwa maaana nimedevelop interest ghafla. serious man. iache kwa kama siku mbili hivi ili nipate muda wa kutosha kuassess interest zangu na kufanya faino evaluesheni ambayo ni makini kidogo. serious man, nataka kuachana na ukapela kwa maaana hizi pajazzzz ambazo hunipelekeaga kula ugali kwa kulumangia na taswrizz kama ilivyo sasa hivi hapa zitaniua sasa, evaluesheni yangu ambayo nitafanya kwa kushirikiana na mdau aliyeko huko nyumbani ikitoka furesh tu basi itabidi nitie timu home mara moja kuexpore posibilities za kudownload kimoja mzigo. upo hapohapo kwenye moja kati ya taswira hizi.
    ndo mana huwa nasema kila siku kaka pajazzzz ndo mambo ya kutuletea sasa. sasa naskia harufu ya kuucha ukapera. kama ni dolali nimezikusanya vya kutosha. pajazzzz za leo zimenijengea hisia kali. kaka uko juuu.
    Mdau wa Pajazzz+titizzzz

    ReplyDelete
  19. HUYO KAKA ALIYEVAA BLUE ANAJA SHIRT ANAJARIBU BAHATI YAKE NAONA MADEMU WANACHEKA HAWANA MBAVU, KAMA YUKO NA BILLION BANK POA TU MAANAKE MONEY TALKS

    ReplyDelete
  20. kaka michu kama ulipata close up ya hadija mwanamboka please ipost manake duh katoka ile mbaya..yaani katoka kivingine ..huwa napenda sna personality yake lakini hapa kafunga goli la DROGBA...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...