Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Makini, Mh.Jimmy Obedi akisisitiza jambo wakati akiwatambulisha viongozi wapya waliochaguliwa katika mkutano mkuu wa chama hicho uliofanyika hivi karibuni. Kulia ni Makamu Mwenyekiti Taifa, Mh. Angela Mwashi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. mwanademokrasia yenye ufanisiFebruary 17, 2010

    kwa nini hivi vyama huwa havisikiki mpaka inapokaribia uchaguzi?

    Kwa nini vyama visiungane tukawa na idadi chache, say vyama vitatu au ninne tu kupunguza mzigo kwa walipa kodi?

    ReplyDelete
  2. Kaka Misupu,
    Kwa nini hawa Jamaa wanaitwa waheshimiwa . Naona imeandikwa hapo Mh....Mh....Hivyo vyeo hatitamkwi hivi hivi Misupu. Naomba ufafanuzu ama sivyo rekebisha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...