Wadau wakila pozi baada ya kuvuta nondozzzz zao za Masters of Business Administration kutoka chuo kikuu cha University of Wales huko Cardiff. mnene mfupi anaitwa abdallah hassani na mnene mrefu anaitwa aboubakar soud na mrefu mwembamba anaitwa Gabriel lukendayo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. hongereni sana wasomi wetu mko juuuuuu mrudi hm kuja kuijenga nchi

    ReplyDelete
  2. Mbona lugha changanya sasa jamani? Chuo Kikuu cha University of Wales ni kama kusema (maji ya water). Tuwe makini. Maana najiuliza, je walioandika ndio waliohitimu ama mtu mwingine? Na kama ndivyo, shule ya UK haijawapa somo la uzoefu wa matumizi ya lugha? Kutofautisha kiswahili na kiingereza katika maandishi yetu.

    ReplyDelete
  3. Kwani mtu kuchapia haiwezekan acheni majungu na kujidai mnajua sana lugha za watu,mbona hats Kiswahili watu hukose jama?au ukikosea kizungu ndo hujui.?hongereni

    ReplyDelete
  4. Watu wanatoa sura tu,watoe na GPA zao tuzione hapa.

    ReplyDelete
  5. Hao jamaa wanauza sura.chuo chenyewe hamna kitu.Nkunya anawatafuta sana watu akam hawa.

    ReplyDelete
  6. ndugu nadhani lugha ya humu bado haujaielewa,hapo kilichofanyika ni kumichuzilize(kumichulaizzzz) yaani kuiweka katika form ya inayoweza kueleweka vzuri katika michuziblog.

    vinginevyo,mi nawashauri wasomi hao wabaki hukohuko,maana wakirudi watakuwa maskini na watataka kuwa mafisadi,tulionao nadhani wanatutosha...bakini hukohuko,kwa sababu huko hamwezi kuiba.

    ReplyDelete
  7. Ndugu Anon wa Tue Feb 16, 04:01:00 PM...hio ni lugha changanya tu kufurahisha watu...ni kama kusema Barabara ya Morogoro Road...ni utani na twaukubali...hii blog ni ya vitu serious na entertainment twataka pia kaka/dada...

    ReplyDelete
  8. Kumradhi nje ya mada.

    Kaka michuzi angalia email yako nimekutumia ujumbe tena maana pengine ulikuwa marked kama 'junk mail'.

    Mdau

    ReplyDelete
  9. Hongera sana Abdallah.... i remember u in those days at MOA HIGHSCHOOL......hahaha much congrats kaka.
    mdau UA.

    ReplyDelete
  10. Hongereni sana vijana, karibuni nyumbani mlijenge Taifa letu

    ReplyDelete
  11. hi kwako michuzi.mbona unaita watu mnene kwani huwezi kusema kutoka kulia.....au wa katikati!!eh bwana acha zako

    ReplyDelete
  12. MDAU WA FEB. 16, 06:01:00 PM, TUNAOMBA UTUONYESHE VYETI NA GPA YAKO KWANZA KABLA HAUJAWAULIZA WENZAKO.

    ReplyDelete
  13. watu punguzeni roho za kokoto ati chuo hakina kitu sijui upuuzi gani nyie mliosoma HAVARD mbona hamuonyeshi nondo zenu ?? eti wanauza sura na wewe leta yako tununue sijui nkuya jina ovyo kabisa kama akili yako hata msemeje ndo washakula nondo zao better late than never!!

    ReplyDelete
  14. Hii ndiyo tofauti ya wabongo na wenzetu wengine wa East Africa no appreciation why jamani?tusipojikubali nani atatukubali?nyie habo juu baadhi yenu mkiwa waajiri si mtatuchinjia baharini? tubadilike guys

    ReplyDelete
  15. mtu mweusi ata baki kuwa mweusi tu.they never appreciate..shame on u guys,,ndo walewale wakipata elimu wanaweza kukutemea mate..hv mtaelimika lini?hongereni vijana,mtabaki kusema wezenu wanasonga mbele

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...