


Habari Kamili ya msiba huu wa kusikitisha
BOFYA HAPA
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
RIP Imran- tunataka Govt. itoe tamko kuhusu kifo hiki.Inahuzunisha sana.
ReplyDeleteMembe waziri wa nje yuko wapi? naona katia kichwa kwapani anashindwa hata kulaani. Hivi hawa mawaziri wanje wanasubiri tu kuandamana na raisi? nchi hii bwana!
ReplyDeleteInnalillahi wainna ilayhi rajiun poleni sana wafiwa M/Mungu amlaze marehemu malazi mema peponi
ReplyDeleteNatoa pole kwa familia. Kweli ni huzuni usiosemekana.
ReplyDeleteMimi sikumfahamu huyu kijana wala familia yake siifahamu lakini imeniuma sana.
Hizi ndo news za kuweka hewani mkieleza ufuatiliaji wa nani alifanya unyama huu na malipo (kama yapo) kwa familia iliyomtegemea huyu kijana kuliko kila siku kujadili sijui afande katamka eti 'elektronishi' au eti Jerry kumbe alinunua pingu sijui ya kunogesha mapenzi, upuuzi mtupu.
Hiyo ni kesi kama zingine ambazo kuna wengi sana huko rumande na hata mafaili yao hayajakamilishwa eti upelelezi unaendelea.
Sheria ichukuwe mkondo wake.
Na ni aibu kusema eti kesi ya Jerry ikamilishwe mapema, je ni nani anayewasemea au kuongeza spidi kesi za wengine maskini tena walio rumande muda mrefu sasa ambao wengine wana mwaka na zaidi na hukumu bado. Vyombo vya dola haviko kwa ajili ya watu fulani wachache tu!
Kwangu mashauri yenye kipaumbele ni kwa familia ya watu kama hawa na yule kijana (Fundikira?) aliyeuawa kwa kipigo na Wanajeshi, aliyeuwawa na Kiongozi kwa kukwaruza Prado na wengineo ambao wamekatishwa maisha yao kinyama na wale walioko magerezani wakihangaika kupata mlo toshelezi (not balanced), wakisukumana kupata nafasi ya kuweka ubavu na katika mazingira magumu ya kutengwa na jamii nyingine.
Media, Mambo ya nje, Mambo ya ndani na Ubalozi tupeni habari ya kifo cha huyu kijana ambaye familia na Taifa lilimtegemea na tujuwe familia yake inasaidiwaje?
Angalia mfano USA wanatua tu Haiti, pamoja na kutoa misaada wanaanza kutafuta Wamerekani waliojeruiwa au kuhangamia huko ili taratibu ya kuwatambuwa na mafao yanayopaswa yashughulikiwe kwa familia zao!
Uhai wa Mtz ni kwanza popote alipo ndipo mambo mengine ya kurejesha hadhi ya mtu au kusafishana yafuatwe!
Habari ndo hii!
MICHUZI EBU TULETEE HABARI NZI YA CHANZO CHA KIFO CHA MPENDWA WETU WENGINE HATUJAPA, JE NI AJALI AU KUNA MKONO WA MTU?
ReplyDeleteInatia huzuni sana.Poleni waifiwa.
ReplyDeleteM/Mungu amuweke mahala pema peponi. Amiin.
Membe mwite balozi wa wahindi. Mpe huzuni ya Taifa kwa kuuliwa kijana wake. Tunaata taarifa kutoka serikali ya wahindi kupitia huyo balozi jinsi gani wanachukulia ulinzi wa vijana wetu huko. Hatua gani zinachukuliwa kukomesha mauaji ya vijana wetu huko.
Mdau
Michuzi asante kwa kuendelea kutuhabarisha,lakini kapteni Ibrahim umemzeesha sana.
ReplyDeleteRIP brother Imran
ReplyDeleteNimepata habari hizi hapa blog ya jamii kwa mshtuko mkubwa sana. Pole kwa sisi sote kwani Imran ni mdogo wangu tangu Majengo,Moshi; Mawenzi Sec. Kilimanjaro,kwenye fcbk ni rafiki yangu na nakumbuka hata tulipochat mara ya mwisho na kunifahamisha safari yako ya Moshi.Tupo nawe kiroho daima,tutaonana Mungu akipenda Imran.
ReplyDeleteR.I.P IMRAN.
DIDI VAVA.
r.i.p bro klm-tz(same struggle like og show us the way) promise for retaliation
ReplyDeleteKwahiyo mwili umekuja bila kichwa? maana nilisikia hakikukutwa.
ReplyDeleteSo sad jamani. RIP comrade
mungu amlaze mahali pema peponi na awape familia nguvu. Nimesoma kwenye news kuwa balozi wa india tanzania kasema yeye hajasikia kitu kama kijana wa kitanzania kuuawa india bila hata kuonesha remorse kuwa atafuatalia au nini. je hii inawezekana kuwa honor killing maana wahindi wanajulikana sana kwa hizo na kuua waafrika au hata wahindi wenzao ambao ni lower cast wanapokua na wasichana wao au wanapotaka kuoana nao etc? au nini wenzake wanasema inaweza kuwa sababu?
ReplyDeletewe mtoa maoni Tarehe Fri Feb 05, 10:34:00 AM, Mtoa Maoni: Anonymous ur joking eh?
ReplyDeleteNo mtoa maoni 10:34am is not joking. Hata mimi nimejiuliza swali kama hilo
ReplyDeletekwa kweli jamani huku india we are very disappointed..the worst thing ni kwamba bado hatujui what happened...yani this issue is not anyway in the news wala newspapers,indians are full of shit na ni wabaguzi sana...jamani,tunaomba msaada huku cause ubalozi hata hautusikilizi...its not safe huku....
ReplyDelete