Mkurugenzi wa Bodi ya Bahati Nasibu ya Taifa, Abbas Tarimba (kushoto) akikabidhi leseni ya uendeshaji wa mchezo wa Premier Bingo, Meneja Uendeshaji wa Kampuni ya Entertainment Africa, Bw. Arnaud Foubert makabidhiano hayo yamefanyika leo katika hoteli ya Paradise. Mchezo huo utaanza kuchezeshwa kuanzia mwanzoni mwa mwezi machi kupitia Televisheni ya TBC1. katikati ni Ofisa Utawala wa kampuni hiyo, Dhiresh Kabba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Duh Hela kitu kingine. Tarimba Abassi toka miaka ya tisini mpaka sasa yuko vilevile. Jamaa azeheki. Damn!

    ReplyDelete
  2. Dhiresh, naomba ajira katika bahati nasibu yenu.
    napatikana kwa namba 0754 243201

    japo kaukarani tu kananitosha

    ReplyDelete
  3. Mazingaombwe kama mwanakijiji anavyoita

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...