Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Mh. Muhammad Seif Khatibu akijiandaa kukata keki katika sherehe za mwaka mpya ya serengeti breweries usiku wa kuamkia leo ukumbi wa Msasani beach club. Shoto ni Mwenyekiti wa kampuni hiyo, Jaji Mark Bomani na kulia ni Meneja wa Uhusiano wa Serengeti Teddy Mapunda na wa pili toka kuume ni Absalom Kibanda, Mhariri wa Tanzania Daima akiwakilisha wanahabari
wazee wa masauti akudo impact walitoa burudani
wadau wa mwananchi corporation, wakiwa ni baadhi ya wanahabari toka vyombo mbalimbali walioalikwa kusherehekea mwaka mpya na chui chui...
mdau wa TBC baada ya kupokea cheti cha shukrani
ankal akipokea cheti chake kwa niaba ya Globu ya Jamii
Michuzi Jnr akipokea cheti cha shukkrani kwa globu ya jiachie
mwakilishi wa Daily News na HabariLeo, Scola akipokea cheti cha TSN
wanalibeneke na vyeti vyao vya shukurano toka Serengeti ambao kwa mara ya kwanza wameonesha mfano wa kutambua umuhimu wa globu na kuwaenzi waendeshaji wake. Toka shoto ni Ankal wa Globu ya Jamii, John Bukuku wa Fullshangwe.blogspot, Geofrey Mwakibete wa Mohammeddewji.com, Muhidin Sufiani wa Sufianimafoto.blogspot.com na Michuzijunior wa Jiachie.


goodjob!........................................
ReplyDeleteAnkal,
ReplyDeleteTunashukuru kwa blogu ya Jamii kutambuliwa na wewe kukabidhiwa cheti kwa niaba ya wadau.
Ahsante
Mdau
Ankal, fulanaaaaaz iliweza kukauka na kuwahi hafla au uliivaa ikiwa na unyevunyevu! I love the fulanaaz.
ReplyDeletetakukuru na kova mko likizo?
ReplyDeleteAnkal
ReplyDeleteHongera sana kwa cheti.Swali langu ni moja,vilitumika vigezo gani kutolewa hivyo vyeti?Nauliza kwa sababu mimi hapo globu ninazozijua ni mbili tu ya kwako na mdogo wako.mbona kuna globu zingine nzuri na zna newz kibao hazipo??!!au ndio takukuru..lol
ahh!!! Tedy mi nakufagilia sana kwa kweli, mara zote shughuli zako huwa 'bab kubwa' tangu ulipokuwa 'ba' ila najiuliza ujasiri uliokuwa nao wa kubeba hilo joka, duh, si mchezo, nakumiss sana, unajua sana kupanga shughuli, ni faraja mno kufanya kazi na wewe, keep it up my sister. mdau
ReplyDeleteafu keki zote izo?fadhilini basi kituo kimoja cha watoto/vijana yatima
ReplyDeletewalevi kama kawa