Hayati Angela John Mahenge

Bwana Bahati John Mahenge na familia yake wanatoa shukrani zao za dhati kwa ndugu, jamaa na marafiki wote walioshiriki katika mazishi na msiba wa mpendwa mke wa Angela John Mahenge.
Tunakaribisha ndugu, jamaa na marafiki kwenye sadaka ya shukrani itayofanyika Jumapili Februari 7, 2010 katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Usharika wa Sinza katika ibada ya pili (saa 4.00) asubuhi na baada ya ibada tunawakaribisha kwenye chakula cha mchana nyumbani Ubungo National Housing nyuma ya Ubungo plaza opposite na uwanja wa kuchezea mpira.
YEYE ALITOA NA YEYE AMETWAA
JINA LA BWANA LIHIMIDIWE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. poleni sana , du dada bado kijana. kweli kazi ya mungu haiana makosa!

    rest in peace amen.

    ReplyDelete
  2. huo mkorogo!!!!!
    duuuuuh, ma dada dezu wanaangamia kwa kukosa maarifa!!!!

    ReplyDelete
  3. mapenzi ya mungu yatimizwe ! sasa huyu dada nini kilimpata looks that she is newly wed ; mimi mnanikumbusha mbali .....

    villager

    ReplyDelete
  4. jamani sio mkorogo,alikuwa ni mchanganyiko na mgiriki .yaani huyu dada aliolewa mwezi wa kumi tu na december akafa,aliumwa maralia only for one day,its so sad ,sad more than anything

    ReplyDelete
  5. Anon wa Mon Feb 01, 02:52:00 PM, Its unfair!
    Kutumia mkorogo au kutotumia ni maamuzi ya mtu. Let dada wa watu rest in peace. Hebu niambie ungekuwa umetokwa na mpendwa wako na ukaona mtu anatoa comment kama uliyoitoa wewe hapo ungejisikiaje? Ukizingatia hata kumjua marehemu humjui. Tujitahidi kuwa na utu jamani. Shame on you!!!!!

    ReplyDelete
  6. i knew it !! hivi kuna shetani gani kaingia kwenye ndoa jamani ..... tusali sana i lost my hubby the same way in a very short time !!

    pole sana mume wa marehemu i know how you feel ; sali sana no other word to say to you

    villager !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...