Hello Ankaaaal, mzee wa libeneke
Napenda kuchukua nafasi hii, kukutumia picha za gari uniwekewee tangazo kwenye Globu yetu ya Jamii ambayo sio tu haina mshindani bali pia ni mkombozi wa wadau wa aina yoyote kuanzia JK hadi mdau wa Mwananyamala kwa Kopa. Hubagui, huchagui...Hongera Ankal!
Gari pichani, aina ya Toyota SIENNA, ya mwaka 1998, inafaa kwa familia inabeba abiria 7. ipo katika hali nzuri kama unavyoiona imetembea km 156,000.kwa yoyote atakayehitaji wasiliana kwa namba zifuatazo muda wowote ule we piga tu ama tuma SMS.
0755 364656

au
0712 968490
ebu na wewe tangaza biashara yako sio kumpaka ankal mafuta kwa mgongo wa chupa. michuzi, uchumi unao, unaukalia tu!
ReplyDeleteUtakufa masikini Ankal.huyo jamaa alitakiwa alipe tangazo na sio kukupamba tu ili aruke bure kutangaz biashara yake
ReplyDeleteMdau ungetupa na bei kabisa ili ambao hatuwezi dau tusipoteze vocha.
ReplyDeleteDOOOO IMEZUNGUKA DUNIA ZAIDI YA MARA TANO, GARI NI ENGINE SI UZURI WA MUONEKANO WAKE.
ReplyDeleteAfrika bwana. Sasa kwa nini muuzaji asiweke wazi specs? Automatic/ manual transmission? Power locks/ power window? na upukupuku wote na bei! Make it easier kwa watu. Ili anayepiga simu ni serious buyer siyo wapiga mdomo tuu. Maana utapotezewa muda wa kujibu maswali ambayo yangejijibu yenyewe kwa kuweza specs za gari mtandaoni! Please update the information ili tukupigie simu
ReplyDeleteMtaingia choo cha kike kimeo hicho, mwenyewe kishamshinda anataka awaingize mjini kati ha ha ha!! bongo bwana ka niuyeki vile
ReplyDeleteKwani mwananyamala kwa kopa kuna nini? Kunguru jike wewe. Acha dharau hata wanaoishi huko ni binaaadamu tena wenye maana kuliko wewe.
ReplyDeleteInamaanisha JK yuko juu sana na mtu anyeishi mwananyamala kwa kopa yupo chini saana, kama sijakosea. NI Maoni tuu
ReplyDelete