Bw. Peter na mai waifu wake wakati wa mnuso huo.
ambao nao wako Lagos kushuhudia fainali hizo za M-Net usiku huu
wakiwa na CEO wa MultiChoice Tanzania na mai waifu wake
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
na huku kama kwenye soka tu mrembo wetu ameshindwa kuingia tano bora ila analipa makapuni ya bongo mtumieni ili tusiue vipaji vya wadogo zao
ReplyDeleteYaani hao waliomfunda hawakumpa cat walk skills, manake hakuwa akitembea kama modo anavyotakiwa kutembea on the cat walk na hicho ndicho kilichomuangusha. Otherwise nnampa hongera kufika finali.
ReplyDeleteKAMA MASHINDANO YAMEISHA ARUDISHWE CHUO MAPEMA KESHO(j3)MITIHANI INAANZA!!!
ReplyDeleteMungi (Inno)fanya mazoezi bwana. Wewe bado yanki. Na pesa za Gym hazikushindi. Usijiachie.
ReplyDeleteBrother Mungy na Da Suzy mumependeza sana.
ReplyDeleteGood to see you!!!
(US Blogger)
Hey Suzy and Innocent.. red carpet huh?..!..lookimng great and relaxed.Keep it up!
ReplyDeleteT..Bonn
Hongera sana Lily, mbali na kwamba hujashinda lakini hapo ulipofikia tayari umepiga hatua kubwa sana, na umeiwakilisha vyema nchi yako,kwa nidhamu ya hili ya juu uliyoonyesha,hongera sana..Mungu akuongoze uweze kumudu masomo yako vyema.
ReplyDeleteDuniani kweli hakuna mtu mwembamba, namkumbuka Suzan Mongy alipokuwa anatagaza ITV, alikuwa mwembamba kweli ,asa hivi tofauti
ReplyDelete