Kaka
Mimi ni mshabiki (Fan) wa mtangazaji mahiri wa RTD (TBC) Swedi Mwinyi hasa kwenye matangazo ya mpira na mengineyo pia.
Nilikuwa nafuatilia matangazo yake hata wakati alipokuwa na Radio DW Ujerumani. Mara ya mwisho kumsikia ni kama miaka 2 iliyopita kwenye runinga ya TBC1 akishiriki kwenye matangazo ya mpira.
Sijamsikia tena kwa kipindi kirefu sana. Wadau mna habari zake? Amepata nyadhifa za juu zilizomfaya aache fani yake ya Utangazaji?
Naomba kuwasilisha swali.
Mdau

kweli huyu kaka yuko wapi siku hizi? katika watangazaji mahiri kwa kweli huyu aikuwa ni mmoja wapo. nami ningependa kujua aliko kwa sasa kaka michuzi tusaidie tujue
ReplyDeleteNdugu yangu Swedi Mwinyi alipigwa kitu kinaitwa "zengwe" pale TBC na sasa yupo mtaani anazeeka na kipaji chake. Hii ndio bingo!!!
ReplyDeleteHivi karibuni nilimwona maeneo ya Sea View, pale mbele ya Court Yard Hotel kwenye taxi nikiwa kwenye foleni. Na nimemwona kama mara mbili hivi. Maybe kijiwe chake kimehamia pale..nenda ukamuulizie pale ndugu waweza ukampata...
ReplyDeleteWacha masihara hizi habari ni zakweli au uzushi? Mimi nilifikiri yupo Japani kachukua nafasi ya Amedi Kipozi. Wabongo kweli noma
ReplyDeleteZengwe kama la Muro nini japo halikusikika ktk vyombo vya habari?!!!
ReplyDeleteJAMAA ALIHARIBU SIKU ALIPOKUWA AKIFANYA KIPINDI NA MASHEHE SIKU AMBAYO BUSH ALIKUWA ANAKUJA TANZANIA SASA YEYE AKASHIRIKI KUUNGA HOJA ZA MASHEHE ZA KUPINGA UJAJI WA BUSH NA WAKATI YEYE ANAFANYIA KAZI CHOMBO CHA SERIKALI NA ANATAKIWA KUISAIDIA SERIKALI... INGEKUWA ITV ANGEFUKUZWA SASA HUMU ANAMINYWA TU KIMTINDO!... HABARI NDIO HIYO NA HIVYO NDIVYO TUNAVYOISHI NDANI YA TBC!
ReplyDeleteInauma sana, watu wanapewa uongozi TBC halafu wanaachia vipaji na vifaa kama Sued Mwinyi, Juma Nkamia, Baruhan Muhuza, Rose Reuben, na wengine kibao vinapotea. Lakini Poa nikipata Nauli nitakwenda kumueleza Mjomba kuwa huku mambo si shwari.
ReplyDelete