Home
Unlabelled
ankal aelekea vekesheni ya diaspora 2 Ukerewe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante sanaankal wape salaams kutoka dar city center huko UK. Waambie "PAMOJA WE CAN-THANK YOU SANA"
ReplyDelete----------------------
Mdau
Dar-TZ
JAMANI ANKO MICHUZ MIE MWENZIO NTA KUMISS SANA TU
ReplyDeletemh kumbe kweli??ze fulanazz
ReplyDeleteaya katetee diasphora
Ankal Umependeza,mie nimefika bei fulanazzzz !nikuvue au?
ReplyDeletekaribu kaka kwenye kibaridi.safari njemaaaaaa
ReplyDeletewadau wa ukerewe tunaomba muifanyizie hiyo fulanazz isirudi bongo donge nono litatolewa!
ReplyDeleteTunachokupendea Ankal sisi wadau wako ni hiyo fulanazzzzzz! Huwa unatuwakilisha nayo vema kabisaaaaaa!
ReplyDeleteSafari njema huko UKerewe.
safari njema kaka twakusubiri kwa hamu sana hapa UK.
ReplyDeleteMdau -Ukerewe!!!
Ankal kaambiwa na mganga wake akitaka kusafiri avae ze fulanaz
ReplyDeleteankal safari njema na ukifika tuwekee habari moto moto na mapicha kibao usikose kupiga picha kwenye mabasi na train utuwekee humu alafu huu ni wakati wa ze njiwaz wanakuwa wengi usikose kupiga nao picha njiwa wenye amaniz sio wa huku kwetu njiwa wanakosa amani kwa ze manatiz
The number one bloger aka wajina aka Ankal wish you safe journey. Uende na urudi home salama ingawa libeneke linasonga kama kawaida kwa kasi popote ulipo.
ReplyDeleteChef Issa
HAHAHAHAHHAH DUH HAKO KAFULANA NI ID YAKO TOSHA MI NAKUSHAURI KWAKUA UNAIVAA KIMACHALE SANA USIIFUE MAANA IKICHANIKA DUH MHHHHH NAONA UTALIA HATA UKINUNUA NYINGINE TUTAISHTUKIA ITAKUA MPYA HII NDIO ORIGINAL BWANA HAHAHAHAHAHAAA UTANI NI AFYA ANKAL SAFIRI SALAMA.
ReplyDeleteMDAU DUBAI
Duh!!Ankal Kweli wewe ni noma!!!Hivi hiyo Fulana ina nini hasa jamani??Hii picha ntaihifahdi ili nije kuwaonesha wanangu Inshaallah.
ReplyDeleteMweeh!
ReplyDeleteMichuzi sasa umezidi. Ze fulanazzz mpa Yuu Kei! Khaah!
Kweli hii nadhani umekwenda nayo NGENDE wewe.
Ankal, je utakutana na nabii yohana John mashaka wa Diaspora???
ReplyDeleteTunasubili atko zake toka diaspora
Ankal safari njema, ila ukirudi piga mnada Ze Fulanazzzz.
ReplyDeleteMi naanza na dau la kwanza: Tshs. 100,000/-
umekumbuka the fulana????za norway...mdau
ReplyDeleteANKO ETI VIPI? KIATU CHAKO KIZURI,LAKINI NAKUSHANGAA UKIJAGA MSIKITINI MBONA UNAVAA NDALA KULIKONI?
ReplyDeleteANKAL BLOGI YAKO INAVUTIA WATU SI KWA HABARI TU HATA WEWE MWENYEWE NI BURUDANI TOSHA HIYO ZE FULANAZII ULIYOTINGA NI MAARUFU SANA,,YAANI ANKAL PAMOJA NA WATU KUSEMA UBADILISHAGE YAANI WEWE UNAENDELEA NA WEMBE HULE HULE NA LEO NDO UNATINGA NAYO UK,,,HAHAHAHAH ANKAALLLL BURUDANI SANA.....
ReplyDeleteAnkal mimi naomba nikuulize swali la kizushi hii fulana ndio yenye mambo yote. Maana picha nyingi umepiga nayo.
ReplyDeleteInaelekea ANKAL hii the fulanazz unaipenda sanaaaaaaa.
ReplyDeleteankal karibu ukerewe ila baridi na kimvua ndo vimetawala.sasa hiyo ze fulana itakuua na baridi au una mpango wa kuingia Primark kununua jacket..tehe tehe tehe
ReplyDeleteBwana Muhidini Wa Issa naomba ummpe salamu zangu nyingi huyo Beki wetu wa kushoto wa wazamani sikutegemea angekuwa bado yupo fit hivyo, ebwana hongera zake sana tena sana kwa ku-maintain life maaana hata hao wachezaji waliocheza miaka kumi baada yake afya zao ziko duni sana, salum kusi nilimuona nikiwa hata Shule ya msingi sijaanza, hivi sasa nina miaka 40, siamini km salum kusi bado anaonekana kijana hongera sana kuona hivyo. Mimi mdau mbegu Reading . UK
ReplyDeleteSafari njema Mkuu!
ReplyDeleteFulanazzzzz
ReplyDeleteumebeba koti...kuna kipupwe huku
ReplyDeleteKaribu Sana Ankal, tunakusubiri kwa hamu na sasa kibaridi kimepungua. Vipi Anti umemwacha wapi unakuja peke yako??
ReplyDelete