Wajumbe wapya wa bodi ya TSN wakiongozwa na mwenyekiti wa Bodi hiyo Bw. Wilson Mukama wa tatu kutoka kulia. Hii ni baada ya kuzinduliwa rasmi leo na Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Mh George Mkuchuka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mkuu wa wilaya, tuambie majina yao na si kututajia watu wawili tu.

    ReplyDelete
  2. Hii ni bodi ya wazee. No any young man in the team. sasa utategemeaje mabadiliko na ushirikishwaji vijana. Mimi najua hili taifa limewaweka vijana kapuni,
    Its a fact anyone can see

    ReplyDelete
  3. Ankal wape Hongera bodi nzima, ila kuna jambo la kushangaza kidogo katika uzinduzi huu tumeambiwa mpaka sasa hakuna mtendaji mkuu ama Managing Editor na hii ni zaidi ya mwaka sasa kulikoni????


    Wametangaza utaratibu wa kupeleka majina matatu kwa JK hili afanye uteuzi wa jina moja la ME, lakini mbona hawasemi hayo majina matatu yanapatikana kwa utaratibu gani?? au ni lobying kwa kwenda mbele?? kama ni hivyo kwanini wasimpitishe tu huyo aliyekuwa anakaimu kwa kipindi chote hiho kuwa ME??? au kuna kaufisadi hapo?



    Maoni yangu mi nadhani Mkumbwa Ali apitishwe ama apewe U-ME.

    ReplyDelete
  4. Baba yangu sijui ataingia lini kwenye bodi hizi.....**sad**

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...