

BOFYA HAPA
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wajameni, vaa gani hii balozi wetu? Daah watutia soni wanawake wenzio na waTz kwa ujumla!
ReplyDeleteDu mama karibu japan yetu kwa unvyo onekana tu ni mtu ulie kamilika mbaka kinafsi wenzako ubalozi wetu tulikua tunauona kama kituo cha police kwa uwongozi ulio ondoka yani tuli ukumbuka uwongozi wa zanani mama tuokoe wenzako na kaka mareko tunajua unaondoka ila tutakukumbuka sana kwani wewe ndio mtu tulio kua tuna shilikiaana nawe kwa shida na rahaa nawe ni matunda ya ya rohoo nzuli ulio risi kutoka kwa utawara wa kina mzee njiku na wenzake balozi wa wakati ule . balozi alie ondondoka tukua atukanyagi pale du mama karibu sana japan tunaomba utusadie wenzako kwa raa na shida ikiwezekana tunaomba utupage ukumbi [hall] la ubalozi ili tuutumiea kwa vikao vya umoja wetu kama alivyo kua anafanya mzee wetu balozi wetu wa zamani. kaka mareko tunaomba umlishishe roo yako mtu unae muachia asiwe na roo mbaya hapa ni kwa watu ni mahali pa kupita tu sisi wote tushilikiane aya ni maisha tu
ReplyDeleteMheshimiwa Balozi karibu Japani. Lakini tunaomba ujaribu kujitahidi na mavazi. Shukurani.
ReplyDeleteWadau wa Japani
Hongera sana mama Salome (wajina) Big up sana, wanawake na maendeleo namna hiyo hakuna kurudi nyuma. I wish ti visit kipande hiyo tena. Godblesses.
ReplyDeleteNaomba kumtetea mheshimiwa balozi Salome kwa mavazi yake.Kwa mavazi haya humfaa sana mwanamke wakati wa mchakamchaka wa safari na kadhalika.Tafadhali sana wadau wetu tulizeni mioyo yenu.Hapa nimesoma kuwa Elibariki Maleko anaondoka,sasa anaelekea wapi?Wadau tuhabarisheni kwa kuwa huyu ni mdau wetu muhimu kidiplomasia.Mama Salome endelea vema na ofisi yako wakati huu wa maandalizi ya mheshimiwa waziri mkuu wa Tanzania nchini Japan.Tafadhali jitahidi kuimarisha uhusiano wetu mzuri na Japani ambao ni washirika wetu muhimu katika maendeleo na uchumi wa Tanzania.Wakaribishe Tanzania ili waweze kushiriki katika mpango wa kilimo kwanza kwa kuwa ni wakulima na watengenezaji wazuri wa zana za kilimo kama inavyoonekana katika maonesho yao ya kilimo huko Yoyogi Park.
ReplyDeletembona kapendeza na nini mnaokazania mavazi yuko simple na smart na anaonekana msomi sasa mnataka aweke manywele ya bandia ndio aonekane kavaa?
ReplyDeletemama kaula haya wana jamii wa japani kaeni mkao wa kula kwa mapokezi ya mtetezi wenu huyo mpya
ReplyDeleteanaonekana ni mama mwenye upendo na huruma sana kwa jamii atawasikiliza kilio chenu
mdau kilosa.
Namkumbuka huyu mama alipokuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi. Kwa kweli ni mwadilifu sana na aliwasaidia watu wengi kupata haki zao za ardhi licha ya kuwa alikuwa amezungukwa na mafisadi. Namuombea Mwenyezi Mungu ampe moyo huo huo na mafanikio.
ReplyDeleteHongera sana mama Angel, nakutakia mafanikio mema!
ReplyDeleteHongera Mama Sijaona.
ReplyDeleteTangu enzi za Mipango MOROGORO, hadi sasa Balozi Japan.You are my idol.
Mdau-Quebec City
mama karibu anga zetu...waosha vinywa bwana....kazi mnayo....mavazi ni simpo kawaida na hayamsumbui mama yetu tangu kule home,hakuna hata aliyeaibika...cha msingi tumpe ushirikiano ili aendeleze rekodi yake nzuri ya ufanyaji kazi wake kama nyumbani.
ReplyDeleteAika- Seoul