Angella Lubala

Good morning Tanzania! This is your girl, Angella
It's always wonderful to wake up to a day full of potential, hope and great opportunities. A new day promises a chance to make reality out of the dreams you have beforehand.

As we all know challenges are sure to come in forms of opposition, discouragement and even false accusations. It’s true that we all differ in ways to handle these challenges. We could chose to hide run cry or give-up...those options seem to present themselves first for some reason. I’m here to tell you don't take that road we should opt to confront the problem but with wisdom and poise.
Now, I am aware that there have been some recent concerns about my face book profile. And I’m here to clarify that I only have 1 face book profile, by the name of Angella Lubala and 1 fan page by the name of Angella Lubala anything else is not mine.

But recently my profile had been intercepted by two individuals. During that time they had been providing false information to my fans, friends, and family in attempt to ruin my name.

These two young men hacked into my yahoo account and because I had the same password for my face book it was then easy for them to tamper with my face book account. They then started writing lies on innocent people’s walls while impersonating me. There have been names mentioned of very influential people that I have great respect for who also were unfortunately linked to this imaginative story about me.

I, Angella Lubala assure you that this issue was given priority and all has been accurately handled. This is also the time I would like to bring awareness to all face book participants please let my experience be a free lesson learned for you. Because hacking into people’s account is a recent havoc anyone can be a victim!

Be very discreet about your passwords and make sure that your face book and host email account do not share the same password. I appreciate you all for your encouragement love and support.

So my beautiful fans, the wonderful media, my loving family, and my gracious friends know that you are not forgotten...you have all watched me grow into the great expectations you have of me, thank you for believing in me and I promise to keep you proud.

I am currently increasing my education abroad, in political science. Fortunately I was able to be elected president of African student association at my university I am doing my best to represent my country respectively.

I am officially representing Tanzania in the Miss Africa USA 2010 pageant finalists. My platform is called brighter education and if you would like better information or feel like participant you are greatly welcomed to visit www.missafricausa.com

and vote for me or visit my fan page on face book for more details or my website http://www.angellalubala.com/
I love you all my fellow Tanzanians
and together is the only way
to make a difference.

-Angella.
NB: For more on facebook hackers

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 52 mpaka sasa

  1. Pole sana Angella ila na ninapongeza wewe kulisimamia kidede swala hili la kuharibiana maisha "ILA NAKUOMBA KUNYAMAZISHIZA UONGO HUO UNAOSAMBAZWA JUU YAKO GO GET HIV TEST HALAFU ANIKA CHETI CHAKO KUDHIHILISHA UNAYOYASEMA NI UONGO HAPO KILA MTU ATAPATA UKWELI NANI MUONGO NA UTAWEZA KUNYAMAZISHA WAZUSHI WAKO. kwa vile umeamua kuleta swala hili kujadiliwa kwenye blogo ya jamii!! wablog tuna nafasi ya kuchangia na kukupa sapoti pale tunapoona kuna haja ya kufanya hivyo.
    Michuzi nakuomba uitundike hii comment usibanie thx Mdau USA

    ReplyDelete
  2. HANA HAJA YA KUANIKA CHETI BWANA SI LAZIMA NI KUMUACHIA MUNGU NA NDIO IWE FUNDISHO NA MWANGAZA MUWE MNABADILISHA PASSWORD KWA MWEZI MARA MOJA AU KWA WEEK 2 MARA MOJA. ILA HII ITAKUWA FUNDISHO PIA YA UOGA WA MAOVU NA WATU MNAOWAKARIBISHA KUWA WAPENZI BILA KUMJUWA JUU CHINI. PAZI.

    ReplyDelete
  3. Hivi issue kamam hizi kwa msiwe mnaziacha tu zinapita? manake mnapoanza kutoa maelezo marefu ndio hatat ambao hatukuji wewe wala hizo issue ndio tunaanza kuuliza kulikoni. Kwani mtu akikuibia password si utoe taarifa to kwa friends na hao unaosema fans wako , yaishie huko? Sasa uwe na ukimwi usiwe nao inahusu? Cheti aweke cha nini sasa? Watu tuko busy na issue zetu zingine tutaanza kufuatilia kamam Angela ana ukimwi au la? Unajua sometimes mnakuza mambo mno bila sababu , wewe endelea na maish ayko bwana. Ni kamam Flavian oooh watu wanatangaza wamenisaidia bla bla... Zitoo nae ooh najitoa Wanabidii ooh mara narudi ... hivi kichwani kwenu mnajidanganya kwamba watanzania wanafuatilia issue zenu? watu wenyewe hawawezi kula milo mitatu huo muda wanao? Tujifunze kuendesha mambo yetu kibinafsi sio kila kitu public na vile vile usidhani watu wanafuatilia mambo yenu wako busy.
    Dont worry about what other people think about you , because most of the time they dont and strange enough they also think you are thinking about them!:):)

    ReplyDelete
  4. HII NDIO YALE YALE YA OH WANANISEMA OH WANANISINGIZIA WACHENI KUJISTUKIA FANYENI YENU MOVE ON, SIE WASWAHILI KWAKUJISTUKIA TUNAPENDA KUSIFIWA TU. KAMA UNAJIJUWA UONGO USHAJIJUWA UONGO WEWE NA MOYO WAKO NDIO UNAJUWA MSAFI VIPI USIOGOPE HUNA HAJA KUWEKA STORI HAPA WALA KUMUWEKEA MTU CHETI.

    KIMARO.

    ReplyDelete
  5. mdau hapo juu ujakosea anajitangaza mwenyewe huyo maneno mengiiiiii.sema tu unaomba kula.

    ReplyDelete
  6. loh mbona kazi jamani hawa vishanshuda nao kwa kutaka kuuza sura ili mradi tu jamani nae loh!!!watu wanashuhuli zao waziangalie zako na kuzidiscuss za nini?hayo mambo ungeyamaliza mwenyewe huko huko na upashkuna wake na loh kazi ipo ashuo tu sometime mtu unataka kusoma vitu vya maana ukiangalia pumba tu kilichoandikwa humu mmmmmh kazi ipo!!!!!sio lazima uje humu malizana nayo mwenyewe kama unao au huna is up 2 u baby!!

    ReplyDelete
  7. Hello to All,

    Kwanza kabisa napenda kuuliza, huyu si ndiye Angella Luballa aliyekataa taji la miss Tanzania No. 2/3 kwa kisingizio kuwa misingi yake ya kidini haimruhusu kushika Taji la anasa au..?? Kama ndiye yeye sasa iweje aibuke ati anawania Miss Aftica USA...??? Kwani kuna tofauti gani na taji alolikataa..??. Kama amebadilisha misingi yake ya kidini na kujiunga na misingi ya kidunia basi alipashwa asimame after we her "fans, friends" kwanza kuomba msamaha na kutujulisha rasmi juu ya uhamuzi wake wa kurudi kwenye "Really World Lifestyle" na si kurudi kinyemela kihivyo kana kwamba sie fans tumesahau kilichotokea mwanzo.This is not gonna work out wajameni.Huu ndiyo uwanja mkuu wa local and international mipasho, mie mwenzenu sijawahi kumuona huyo binti akiomba msamaha au akitangaza rasmi kufanya hivyo,this is not coming in our minds so easy that way Angella..!!.Hilo suala la kuzushiwa kuwa ana ukimwi wala sio issue hapa, hatuhitaji kujua au kuona HIV test result yake wala ya mtu humu ndani, kwani kila mtu anazushiwa sana, mimi mwenyewe nimezushiwa mara nyingi tu, na baadhi ya watu walionidhushia wameishatangulia mbele ya ukumu,R.I.P) mimi nipo nadunda tu na "Neg." yangu.Pamoja na hayo me ni mwanafunzi wa siku nyingi hapa USA lakini sijawahi kusikia Angella kuwa the president wetu, wow, lol..!!.Tutembelea basi hapa the president tukujue. Well, ni hayo tu ndugu zangu kwa leo.

    Thanks All.

    ReplyDelete
  8. Mimi namsaport huyo aliyesema hii habari huku inapostiwa ya nini? Kama ni kuipost ungeipost kwenye Facebook yako na fans wako wangeelewa. Huku ndio kutuengeze amambo ambayo wala hayawahusu..I guarantee you 96% ya watu wa humu hawakujui na wala hawajui issue yako.

    Na kama ni kuomba support kwa ajili ya mii Afica USA basi ungeleta bila kuleta porojo hizo . Kwa vile baada ya hayo naona kama hufai vile kuiwakilisha vile nchi yangu. Hata hamu ya kuingia huko kwenye link uliyotoa imeniisha nguvu.

    Mkumbuke huku tunaosoma sio watu wote wenye mambo ya utoto ni watu tunaheshima zetu na tunasupport kitu chenye heshima. Hayo ya kuchafulliwa huko kwenye face book inaleta hata utata kwavile wanasema You are what you eat, and people will judge you by the friends you hang around with. So hao watu wanaochukua nafasi ya kukuchafulia habari zako ni hao hao rafiki zako...So what do you want us to think of you?

    Na hata picha uliyoiweka hapa haionyeshi kuwa ni mtu yuko serious.....

    Sorry but the first impression counts the most

    ReplyDelete
  9. who is she? i`m serious i`ve been living in the state and i don`t know who the hell is she to get all the attention in our blog. can somebody please what is she doing may be i`ll ba able to justify her air time?

    ReplyDelete
  10. US BloggerMarch 16, 2010

    US blogger)

    Hawa Miss wana matatizo sana. Huyu hakuna hacking wala nini, huyu anataka tu kuuza sura. kama sikosei, anatuma taarifa kwa John Mashaka na Hasheem Thabeet kwamba yuko single na anataka ile hela ya Kijana yenye picha za mzungu. huyu ni mchimba dhaabu makini sana asituzingue

    US-blogger)

    ReplyDelete
  11. Whasup,

    Bongo alamidulirah tumejaliwa watoto wazuri sana dunia nzima hakuna spare.
    Ila wana longolongo, uzushi mwingi mno.Ooh imkekuwa hivi, ooh imekuwa vile, ooh sijaolewa nililala tu siku moja, mara hivi, mara kulala jera hehee ebo,waiii.

    ReplyDelete
  12. mie nashangaa hiyo ni social networking lakini kuna watu wamekuwa mabishoo kutwa kuanika mambo yao binafsi huko hasa mtu akipata bwana wa kizungu ni kuanika huko ili dunia nzima ione yani kuna upuuzi wa kila aina kujisheua ndio usiseme na watu kushindana na uvaaji ovyo sana ndo mkome kwa nini msiwe simple?? ndo mana upuuzi kama huu unatokea soon itageuka ze utamu manake kuna watu wanaandika mitusi kwenye wall za wenzao huo ni ujinga sana anyway pole sana kwa yalokusibu

    ReplyDelete
  13. Jamani! huyu dada si alichaguliwaga miss reds akajivua taji coz sponsor ni kilevi, kwa hiyo hilo taji la miss Africa USA sponsor ni fanta passion, fanta pineapple na sparleta manake coca cola pia inasemekana ina kilevi ama? mi naona we mwenyewe hujielewi

    ReplyDelete
  14. ndugu yangu mtoa maoni namba tatu mbona hueleweki unachoongea! kama ungekua hufuatilii mambo ya watu usingejisumbua hata kutoa maoni! mi naona Angela ulivyofanya ni sahihi sana kwa mtu yoyote mstaarabu kwa sababu huwezi jua ni kwa what extent hao jamaa wamekuchafua so u had 2 do wat u did!!

    ReplyDelete
  15. Angella,

    Hizo links ulizotoa hapo zinatupeleka kwenye websites zilizojaa links. Hakuna kitu! Are you kidding us?

    ReplyDelete
  16. Dear Angela, hii habari ungeiweka kwapani tu we don't need to know all that. Hayo mambo wanayokuzushia kama ni uwongo yatajifia yenyewe kadri muda unavyokwenda.

    Usipanic, be yourself. Usiwape maadui zako nafasi kukushambulia.

    Kazurii!!

    ReplyDelete
  17. this is what happen when u dont have much to do,alwayz utafikiria people are talking bout you, this girl angela needs to get bizzzy, if she is bizzy with what ever she is saying she is doing(reping tanzania)i think she is not doing a good job, cause am here in usa, and not a day,that i have ever heard her name or somebody talk bout her, na ninapo ishi tupo takribani wabongo 1500,i think she is crying for attentiiiiion, am sorry angela people are too bizyyyy, the only attentiooooon u are going to get is when u stop thinking people give a damn bout you or ur life style and work hard on repping Tanzania,we want to here u so we can support u, but up to now u are watsing our time, talking with grown people, ohh 2 young men hacket my face book, maan,michuzi stop this kaka

    ReplyDelete
  18. Labda turudi nyuma na tutoke kwenye mada kidogo, hivi huyu si mtoto wa mchungaji Luballa ambaye alirudisha zawadi za mambo ya urembo kwa kusema si mambo ya kumpendeza Mungu kama kumbukumbu zangu ziko sawa?

    Ina maana amerudi kwenye haya mambo tena??? Au kwa kuyafanyia marekani humpendeza Mungu ??

    Ni mtazamo tu wadau...

    ReplyDelete
  19. ANKAL VIPI TENA? HAYA MAMBO YANASITAHILI KUANDIKWA KWENYE BLOG ZA UDAKU

    ReplyDelete
  20. HOW IS THIS GIRL? SHE HAS FANS? WHAT SHE IS DOING?

    ReplyDelete
  21. HAKUNA MAADA HAPA.

    HAYA NI MAMBO YA KITOTO. INA MAANA HAO VIJANA ANAWAJUA NDIYO MAANA ANASEMA TWO BOYS. AMALIZANE NAO. HII KUWEKA KWENYE BLOG YA JAMII WHAT FOR?

    ReplyDelete
  22. NAKUBALIANA NA MDAU ALIYE SEMA HIVI INAKUA VIGUMU SANA KUWA WATULIVU? JAMANI TUNAUTAKA UZUNGU LKN UZUNGU KAZI ATA WALIO SOMA SN NA USOMI WAO HUZUNGU KWAO KAZIIIIIIIIIKWELI KWELIIII!!! UTAKUTA MTU MIPICHA YAKE YOTE KAIYANIKA KWENYE MITANDAO KISA KAOLEWA NA MTUNGU AU YUPO ULAYA HALOOOOOOOOOOOOO!! MNAKAZI NA MKISEMWA HOO ETI NIMESEMWA SIUMEYATAKA MWENYEWE TUKUJUE WEWE NANI, UNALO BIBI WAACHE WANAO JULIKANA WAJULIKANE NA SIO WEWE SISIMIZI KWALEO NIHAYOTU.

    ReplyDelete
  23. mbongo ni mbongo. analeta uswahili hadi marekani? bongo tambarare. nenda shule hachana na kuuza sura. Umeambiwa Hasheem Thabeet ana my gal friendi wake, naye nabii yohanna mashaka ana my fianse wake, kwa hiyo tafuta gea nyingine, grrrrr kazi kuuza sula tu na uzushi

    ReplyDelete
  24. m a cute garl but nimekuwa na sina mambo yakitoto....hivi nyie warembowenzangu mtajiona watoto hadi lini?em kueni kama mimi......

    ReplyDelete
  25. US BloggerMarch 16, 2010

    US Blogger)

    Hasheem Thabeet
    Nabii Yohanna Mashaka

    Mnaona hawa wauza reception wanavyowatafuteni na gea nyingi? huyu hana cha nini wala nini. ni mzushi tu

    anataka muione sura yake ili naye apande chati, haya mambo yao ya kitoto ndo kila siku wanayaleta

    sijui kwa nini amesahau kwamba mzee wa vijisenti ni US blogger?
    angetaka kuniona ni kiasi tu cha kuwapigia simu wasaidizi wangu

    Angela, ukiwa na shida mtafute mzee US Blogger, mashaka na hasheem hawalipi

    Dr. US Blogger
    Alumni OXford University
    Economics Department

    ReplyDelete
  26. Heti my fans??
    Fans my makalio yangu
    kazi yenyewe huna
    Fans ndo utoe wapi?
    Kazi kwekwe
    hivi huko Houston
    au Wichita?
    Huko ndo kuna waswahili
    juu ya DC, NY na Minessotta
    Maisha utadhania
    huko manzese,
    huyu demu kachemka
    tafuta sifa tu
    sifa hazipatikani hivyo

    ReplyDelete
  27. It seems you want to get more people to know you. The message is sent. Yes, now we know you. So what next?

    ReplyDelete
  28. kanataka attention,ustaa na kuonekana naye yupo ....inamaanisha hao two boys unawajua vizuri (kama siyo ungethibitishaje?)..sasa hapa unaleta utumbo kwa nini msimalizane hukohuko.??bado hujakua tu ???nipigie nikupe maneno yako..

    Zoo ,GPX

    ReplyDelete
  29. Unatumia sadaka za wanakondooo kwenye fees alafu unaleta mambo ya ajabu miss USA Africa na ulichokataa na dingi yako was nini. Unaitaji nanii weye naisi come to my state

    ReplyDelete
  30. Huyu mtoto ni muongo wazee anataka kujisafisha hapo ili aonekane mwema hakuna kitu yoyote yenye ukweli anayosema watu wanampakazia yot ni kweli na kanapenda ustaa na kuchuna watu mimi nina ushahidi..MICHUZI WEKA HII comment nimekua nikikuandikia all day long pls

    ReplyDelete
  31. MIMI Francis MOngi..Najitokeza mbele ya jamii..sio kwa nia mbaya ila kumsaidia Angella lubala abadilie..kifupi Angella lubala anadanganya Jamii na kimsingi inabidi aombe msamaha kudanganya umma!.Angella lubala amekuwa na tabia hiyo chafu ya kuchanganya wanaume us na Tanzania na wooote ushahidi upo brother michuzi amenikataza kuweka majina hapa lakini kama nikiruhusiwa niko tayari mimi nikiwa mmoja wapo ya hao waume zake na nilimpatia Angella lubala jumla ya dolla za kimarekani 5000(sawa na Million sita za kitanzania kumsaidia kufanya shughuli zake hmarekani kumben ilikuwa naibiwa sasa hivi anadanganya watu hayuko hivo hiyo ni tabia yake na tukimpigia kura kwenye miss africa usa atatuaibisha sana maana huko tayari ameshaanza udhaifu wake wa kulala na watu ovyo!.ninao ushahidi jamii!..Angella ukisoma hii comment nakuomba uwatake radhi watanzania unakumbuka nini nilikuahidi usiposema ukweli sitaishia hapa popote utakapotaka kujisafisha nitakufata!.mimi MOngi Angella lubala ameniumiza sana na sio mimi tu kuna list ya watu Brother Michuzi akiniruhusu nawataja!..

    ReplyDelete
  32. Ankal anangalia sana, sasa blog inatumika kuchafua hali ya hewa. Baada ya kufungwa kwa ile blog yao ya Zeutam sijui sasa hawana sehemu ya kupumulia hivyo wanataka kuja kwenye blog ya jamii.

    Ankal achana na mambo ya udaku. Weka habari na mada ambazo ni serious hapa ( masuala muhimu kwa jamii)mambo ya watu binafsi wakamalizane huko sio hapa.


    Kwanza ni asimilia ngapi ya watu wanatembelea hii blog wanamfahamu huyu binti?

    ReplyDelete
  33. wewe binti umejileta umu bloguni???
    jamani utachambwa umu adi basi,maskini weee.maana kabla sijasoma msg za uko juu ebu nicheke kwanza hahahahahhahaaa teh

    anyway,wishing yu all teh best n face all the critics calmly

    me

    ReplyDelete
  34. heee hahaaaaa kwi kwi kwi,,nizidi cheka mie,,,,umu leo kaziiiii

    ReplyDelete
  35. I am single living in Tanzania and i am looking for beautiful lady to possibly be my wife. Please Angela check me via jojigeorige@yahoo.com. I will be glad to hear it from you mama.

    ReplyDelete
  36. Michuzi leo nimekupenda...yani umeachia wadau mlango wazi watapike wanavyopenda.....ila mnyonge mnyongeni......MBONA WANAUME MMEKASIRIKA SANA JAMANI....Lets be very frank jamani...TOTO KAMA HILI LIKIKUZUKIA GIZANI.......UTAKATAA!!!....yani TOTO ZURI KWELI KWELI mbaya zaidi hapo limevaa nguo....sijui kama ULESBIAN UTAISHA DUNIANI!!!(AnkaL please please......achia comment mtoto aione hii...si kajileta mwenyewe!)

    ReplyDelete
  37. Hello,

    Me tangu mwanzo nilipoona hiii kitu nilijua tu huyu binti kakurupuka na hana mshauri mzuri. Hii si kitu ya kuleta hapa kwa watu na akili zao. Me niko hapa USA nasoma lakini sijawai kumsikia hata siku moja. Tunaomba Michuzi umruhusu "Mwenzetu" Fracis Mongi atoe ushahidi wake, hiyo list ya wanaume wa huyu binti hapa adhalani ili ukweli ufahamike, maana moja ya dhumunni la hii blog yetu ni ku-solve differences kama hizi, kuvichua maovu, kuweka mambo wazi,na bayana hizi ni moja ya mihimili mikubwa ya uhandishi wa habari.Me napenda sana blog yako, lakini husipofanya hivi nitapoteza imani na wewe kabisa Bro Michu, hilo kaa ubaini. Tunataka kuona hiyo list ya "Wahanga wa huyu binti" au "Fans" humu kwenye hii blog.

    Thank you.
    USA.

    ReplyDelete
  38. ANKAL BILA SHAKA UTAKUWA UMEPATA COMMENTS NYINGI SANA KWENYE HII ISSUE YA HUYU BINTI. ASILIMIA KUBWA UMEWEKA KAPUNI MAANA HAZISOMEKI HAPA. LAKINI KAMA KUNA UWEKEKANO BASI WEWE KUSANYA COMMENTS ZOTE HALAFU UMPE YEYE ASOME KWA WAKATI WAKE. ILA KABLA YA KUMTUMIA MUULIZE KWANZA KAMA ANA NGUVU YA KUTOSHA KUKABILIANA NA HIZO COMMENTS.

    ReplyDelete
  39. Wewe Francis Mongi unaonekana kama ulikuwa mchangiaji mzuri sana kwenye ile blog Zeutam.

    ReplyDelete
  40. Tunataka Francis aruhusiwe kutoa ushahidi wake bila mashariti yoyote,juu ya hiyo "Love hackers" kwasababu hii ni globu huru.Kama atatoa ushahidi wa uongo hilo litakuwa ni jukumu la Angella mwenyewe kuchukua hatua ya/za kisheria juu ya ushahidi huo.Ni kwa faida yetu wote hasa sie Men/singles.Tumechoka kulagawiwa, ku-hackiwa, ati fans.....

    ReplyDelete
  41. watu wote mliomponda huyu dada mnatoa maoni kwa ajili ya kuwafurahisha watu.

    huyu dada alikuwa anaishai america.

    mwaka mmoja baada ya kurudi tanzania akashiriki miss tanzania,aliposhindwa kupata taji la umiss tanzania na kuchaguliwa kuwa miss redds ndipo alipoamua kuvua taji kwasababu yeye na familia yao yote wameokoka na kwao pale sinza wanakanisa linalo itwa world alive center.

    baada ya kuvua taji alikuwepo hapa tanzania kwa muda fulani na sasa yuko tena america anasoma tena.

    anachokisema hapa ni kuwataarifu wale amboa ni mashabiki wake waliokuwa wanamsapoti wakati yuko tanzania,kwamba kuna habari za watu fulani za kumchafulia jina lake sio za kweli.

    sasa amekosea nini?azungumzi na sio nyinyimsio mjua.Na kama wewe unaishi america haumjui sasa cha ajabu ni nini?population ya america
    ni 300 milions kweli wewe ni nani mpaka umjue kila mtu.

    someni taharifa ya mtu muielewa kwanza.

    ReplyDelete
  42. iwe fundisho kwa wengine next time mkitaka kuingia blogu ya jamii mje kamili na sio uhuzz kama huu hapa utarushiwa mawe hadi upate kibiongo hivi alokushauri uje humu ndani nani??? sasa ndo watu wanakuchana laivu hadi huyo darling wako ungeuchuna tuu yakaishia juu kwa juu kweli wiki hii stress itachezea asilimia 99.99 hapa ni kuomba ujasiri tu

    ReplyDelete
  43. jamani huyu si ndie aliyekataa taji la REDDS kwa kuwa mjamaa wa kinywaji hicho alimtaka na akakataa?well done anjela

    ReplyDelete
  44. Angella, usiwasikilize hawa baadhi ya watanzania wanaokukatisha tamaa, kwani kuna ubaya gani ata kama umeposti ili uweze kujitambulisha?. Mie naona mambo unayoyafanya ya kijamii baada ya masomo yako ni mzuri tu, na baadhi ya watu tunaopenda maendelea ya vijana wenzetu tungependa kufahamu,na ni mfano mzuri tu wa kuigwa na vijana wengine walipo marekani ata Tanzania. Hawa baadhi ya watu wanaojifanya kukusuta wanakuonea wivu tu nadhani. Kama kwaida yetu baadhi ya sisi watanzania baada ya kuwasifia wenzetu wakifanya vitu vizuri, badala yake tunawaponda. Francis Mongi pole sana kama mambo hayakuenda vizuri katika uhusiano wenu, ila sidhani kama hilo linamfanya yeye Angella kuwa ni mtu mbaya. Wewe endelea tu na maisha yako, tafuta binti mwingine, and move on.
    Angella tafdhali endelea na vitu unavyovifanya na vitakusaidia sana katika kupata kazi ukishamaliza shule. Na pia mungu atakusaidia ukisaidia kwani unawa-inspire vijana wengine kufanya vitu vizuri. Hakuna kibaya chochote mtu kutaka kujiatambulisha ndio maaana hizi social media zimeanzishwa. Achana kabisa na hawa wanaokusuta.

    Go Girl, Go Beautiful!!!!!

    ReplyDelete
  45. kwani ukiwa na shida ni mpaka utoe picha yako bloguni.. mhh hizo ni kampeni zako na hatukutaki..ona ulivyochambwa huku.. huwezi rudia tena.. by the way mi natafuta mtu wa kula raha nae.. kama vipi.. we sema..

    ReplyDelete
  46. Duh! Jooob true trueee! ... eti '... currently increasing my education abroad ...'.

    ReplyDelete
  47. "Muhanga Francis shusha datas hapa, telemsha still pictures zile za ndani kabisaaaa" Kanajifanya kuwa bikira maria kutoka Mwenge stay alive church. Kazuri kwa muonekano, lakini siku zote mie nawaambiaga uzuri wa mwanamke sio wasifu wa nje tu jamani. Imenibidi kwenda kwa facebook page yake, nimekuta comments kutoka kwa Lubalas na ex boyfriend wake mmoja,(Sio Francis)tu,hakuna comments zaidi nilizoziona hapo.

    ReplyDelete
  48. sisemi mengi hapa ila mwenye macho haambiwi tizama. hili ni bonge la danganya toto, maudhui ya issue yote unaipata ukisema between the lines.

    mpiga boksi
    "This time next year i will be a millionaire"

    ReplyDelete
  49. Baba UbayaMarch 16, 2010

    binti kweli kachemsha.it should've been really easy to get her msg accross.just like Mdau Shamim Mwasha alivyotoa ujumbe juu ya kufanyiwa ufisadi ktk email yake.
    maneno machache na yenge kueleweka.huna haja ya kujiuliza kwa sana kulikoni.

    huyu binti Lubala anaonekana bado hajakua wala kutulia.in next few years she'll alright.

    ReplyDelete
  50. Dada Angela, ijapokuwa ninakuonea huruma na kukupa sympathy yangu, sielewi kwa nini katika kueleza issue serious kama hii umeposti picha inayoonesha unatabasamu na kurembua macho. let's hope it's just an error of judgement. Njau.

    ReplyDelete
  51. jamani chunga sana binti hivi ungetokea kwenye yale magazeti ya udaku ungefanyaje?? ungeenda itv channel ten tvt kama ulivyozunguka kwenye mablogu yote?? vitu vingine uwe unapotezea inasaidia zaidi ungewaelewesha hao watu wako ishu zako na sio uma wa watanzani ebu ona sasa hivi kweli u hali gani kwa sasa ? ni kweli maneno hayavunji mfupa lakini huchafua moyo yanaumiza saana kweli pole kwa haya madongo ushauri kwa sasa jiondoe kwanza kule facebook kwa mda njoo kivingine na uwe na marafiki wachache miatatu na ushee ulionao ni wengi sana binti ukute na wengine wapo hapa bloguni wanakusulubu acha tu siku hazigandi yatapita haya ila najua unaumia sana kwa sasa ndo dunia hii jifunze na makosa

    ReplyDelete
  52. kaja kuuza sura na watu wamempa kubwa asie na haya kama yeye na familia yake kaokoka alitafuta nini kwenye umiss loh!kama kana tabia kachafu kaache na kaka wa juu hakutaka shobo toa list kiranga kimuishe huyo ili siku nyingine akome kuja kuleta pumba humu kwenye blog ya maana yenye kutupa habari muruaaaaaaa yeye analeta shobo humu maana alitutoa mudi hata ya kusoma habari ikabidi watu wampe kubwa acha kuuza sura kwenye blog shida zako zinatuhusu nini wewe,pia maisha yako yanatuhusu nini wewe,kaimba ay huo wimbo na utaelewa kilichoandikwa tu ni swanglish kwa kwenda mbela tu leo humu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...