Misa ya kumbukumbu ya watoto hawa itafanyika katika kanisa la AZANIA FRONT,kuanzia saa 12.30 jioni.
Wote mnakaribishwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. jamani to be honest machozi yamenitoka ,tito watoto wako walikuwa wazuri mpaka raha najuwa mliwapenda zaidi ila mungu aliwapenda zaidi ,lakini naimani ata wapa wengine wazuri kama malaika ,nakumbuka kuna siku tulikutana mahali ukanisimuliwa ,kuwa walishawai kutoka kwenye one of magazine bt sikubahatika kuliona ,naungana nanyi katika siku hii ya leo kwa kuwaombea mungu awalaze mahali pema peponi malaika wenu,

    ReplyDelete
  2. Mwenyezi Mungu aliwapenda zaidi,yeye aendelee kuwatia nguvu katika kuwakumbuka wapenzi wenu hawa.

    ReplyDelete
  3. Its really sad..hawa watoto wamenitoa machozi jamani.. walikuwa wazuri sana..poleni sana wazazi wa hawa watoto..kazi ya Mungu haina Makosa!!
    RIP dear children!!

    ReplyDelete
  4. OHHH LOVELY KIDS, MAY GOD REST THEM IN PEACE AMEN. VERY SAD!

    ReplyDelete
  5. eeh Mungu wangu inauma sana kuondokewa na ndugu zetu ila jamani watoto inatia uchungu sana sijui hawa walikuwa mapacha? Mungu awarehemu milele. Amen

    ReplyDelete
  6. oh my god, jamani sina mtoto lakini nimeona hawa watoto roho imeniuma sana, may god rest their soul in eternal peace. Amen.

    ReplyDelete
  7. siah kisanjiMarch 25, 2010

    oh sandra and shawn jamani.poleni sana tito na vickie najua siku ya leo ni ya majonzi sana,mumgu awtie nguvu.sisi tuliwapenda wenetu lakini mungu aliwapenda zaidi.mwenyezi mungu awape pumziko la milele wapumzike kwa amani.amen.

    ReplyDelete
  8. siah kisanjiMarch 25, 2010

    oh sandra and shawn jamani.poleni sana tito na vickie najua siku ya leo ni ya majonzi sana,mumgu awtie nguvu.sisi tuliwapenda wenetu lakini mungu aliwapenda zaidi.mwenyezi mungu awape pumziko la milele wapumzike kwa amani.amen.

    ReplyDelete
  9. Ooh lord, rest their souls in peace. Inauma kwa kweli. Bt, nimebaki najiuliza nini kilisababisha vifo vyao?!! Mungu wangu, maana wamepishana 6 days only... Mungu awarehemu

    Ysha

    ReplyDelete
  10. oh! they were really lovely ... my heart goes out to the family...may their souls rest in eternal peace amen.

    ReplyDelete
  11. Acha mungu aitwe Mungu!!! raha ya milele uwape eeh Bwana na mwanga wa milele uwaanagazi wapumzike kwa amani.

    Dotto!!

    ReplyDelete
  12. Mungu awalaze salama watoto wazuri.. kuna mtu anaweza kutueleza nini kilichotokea jamani..

    Naomba waliopatwa na msiba wanisameje ila mimi sometimes nakuwa na wasiwasi na imani zetu.. I still wonder why would God let this happen to his angles..why why?

    ReplyDelete
  13. i will keep you in my prayers my dear cousin,

    ReplyDelete
  14. Kazi ya mungu haina makosa na tunamshukuru kwa kila jambo, ila kusema ukweli hawa watoto siwajui na wala wazazi wao siwajui ila roho imeniuma mpaka machozi yametoka, wat a luvly angels jamani, poleni sawa wazazi mungu atawapa nguvu na atawajalia uzazi mwingine mzuri kama huu, may there soul rest in peace, such luvly kids aaahh, so sad.

    ReplyDelete
  15. wazazi poleni sana!! I am so touched with this!! If you don't mind what realy happened to them? was it an accident?

    ReplyDelete
  16. Its real sad kwa watoto wazuri kama hao kupotea jamani nini kiliwapata? poleni sana na Mungu awepe moyo wa uvuilivu

    ReplyDelete
  17. The cutest of all angels that ever stepped feet in this cruel world. Please God, let these angels watch over their parents since i can't even imagine what they are going through. Emotional pains never heals. Above all, Vickie and Tito, believe that God had a reason although we dont know it or its hard for us to understand, just believe that God is Love. He will never bring something to you and not bring you through it. I pray that GOD WILL GRANT YOU GUYS SERENITY, TO ACCEPT THINGS YOU CAN NOT CHANGE, TO CHANGE THE THINGS THAT YOU CAN AND TO KNOW THE DIFFERENCE.

    Your ANGELS are watching over you from above.

    LOTS of LOVE,

    CATHERINE

    ReplyDelete
  18. aisee nimelia,,siwajui kabisa ila nasikia uchungu kama wanangu tu,,jamani mapacha awa kiliwapata nini??

    mama wa watoto uchungu wako haufikiki,pole sana na Mungu akutie nguvu sana na alejeze uzao mwingine,na baba wa watoto,uwiii

    ningekuwa dar ningehudhuria misa,poleni wapendwa

    ReplyDelete
  19. Yesu wangu!

    ni mwaka 2007?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...