Mratibu wa Diaspora 2 Conference wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mama Bertha Somi akiongea na Mkurugenzi Mtendaji wa DICOTA Convention Bw. Alfred Nkunga akibadilishana mawazo na CEO wa kampuni ya RADAR, Bw. Jonathan Sutton na msaidizi wake Bi. Janeth Igogo baada ya kikao cha watakaokwenda kutoa mada kwenye kongamano hilo linalofanyika jijini London Ijumaa hii ambapo wadau takriban 400 toka sehemu mbalimbali. Kongamano hilo litafanyika katika ukumbi wa The Sattavis Patadir Center, Wembely Park, London, HA9 9PE UK
Ankal akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa DICOTA Convention Bw. Alfred Nkunga walipokutana leo katika kikao cha watoa mada kwenye Diaspora 2 Conference itayofanyika Ijumaa hii jijini London. DIACOTA ni mkutabno ka a huu utaofanyika London ila unaandaliwa na wadau wa Marekani na mwaka huu unafanyika Julai 1- 4 jijini Minneapolis, Minnesota, baada ya mafanikio makubwa ya DIACOTA 1 na uandikishaji wa washiriki umeshaanza. Cheki hapa
Bw. Alfred Nkunga akiongea na Bw. Jonathan Sutton, Hassan Mwamwetta na Bi Janet Igogo baada ya kikao hicho



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Bro. Michuzi mbona title haiendani na habari iliyokuandani, jaribu kuangalia tena

    ReplyDelete
  2. Mkuu wa Libeneke,

    Mchango wako kwa jamii unastahiri kupewa sifa zote,bila ya wewe sisi wengi tulio mbali na nyumbani tungekuwa bado tupo kizani,kazi yako yaonekana na kukubaliwa na wengi.

    Nakutakia safari ya mafanikio mema ktika mkutano utakaofanyika Uingereza: kwa maelezo zaidi ingia hapa:
    http://haki-hakingowi.blogspot.com/2010/03/issa-michuzi-kunguruma-ndani-ya.html#comments

    Mickey Jones
    Denmark

    ReplyDelete
  3. ankal wewe ni mwanamitindo nini ? nimechunguza fulana zako unazovaa zote ni za mauwa mara michoro fulani fulani mara draft au mistari fulani ya rangi rangi , sijakuona umevaa suti au fulana ilokuwa one color .. usimaind ni kutaka kujua tu na si zaidi , ila bomba sana , NAKUFAGILIA NA KUKUDEKIA KABISA , KEEP UP

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...