mtangazji anayekuja juu kwa kasi zamaradi mketema wa clouds FM na Clouds TV tayari naye ameshajichovya katika libeneke, mada zake kuu zikiwa katika tasnia ya filamu. mtembelee ujionee mwenyewe:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Tunaikubali kazi yake lakini mbona imechukua muda kidogo kabla hajatuhabarisha mambo mapya??? Ninampa hongera ila awe active please.

    ReplyDelete
  2. Hongera kaka Michuzi kwa taswira mbali mbali katika blog hii.

    Kaka, samahani sana, hapa tulipo tupo mtu tano, na tunabishana ile mbaya. Tafadhali tupambanulie, HUYU dada ni mwafrika, mzungu, Mwarabu, Mchina, Mmarekani, Jaba, Mkorea, Mchina au nani kati ya hayo yaliyotajwa?

    mimi nawaambia kuwa huyu ni modo wananikaidi ile mbaya.

    Tusaidie.

    ReplyDelete
  3. I agree...very very cute!!

    ReplyDelete
  4. Mtoto kweli yupo qute lakini professionally kafanya nini cha ziada kwenye tasnia ya habari/utangazaji. Michuzi usiwape kichwa watoto wa watu kumbe bado hawajafika popote. Ukitaka kujua watoto wanaokuja juu kiutangazaji, nenda pale TBC. Nasikitika watangazaji wengi wa kike ni wapiga domo tuu hawana jipya. Samahani.

    ReplyDelete
  5. Kaone, kazuriii!!

    ReplyDelete
  6. Huyu akitwaa umiss wala sitakuwa na ubishi.

    ReplyDelete
  7. Je naruhusiwa kuweka picha ya huyu dada kwenye computer yangu kama background. Naomba niulizie

    Mdau Observer

    ReplyDelete
  8. cute wapi mmemuona Live au ndio nyie walewale mnaopenda kwa picha,hapo ashajiremba kwa makeup kibao ndio mzuri mi nshakutana nae Leaders club wa kawaida kweli huyu demu...acheni kubabaika.

    ReplyDelete
  9. wizi mtupu,mmmh kitu gani????? okey kuwa active bi dada ee.

    ReplyDelete
  10. MICHUZI ASANTE SANA KWA WALLPAPER

    Mzozaji

    ReplyDelete
  11. photshop tu hiyo....ukimwona live ni mtu wa kawaida tu...mail brider searchers muwe macho siku hizi wysiwyg ni (wysinwyg)

    ReplyDelete
  12. Hapa mmenigusa kidogo Acheni majungu, wangapi wanafanyiwa hizo photoshop na zinakataa!!! ama tuwataje?? na hayo macho yamefanyiwa photoshop? ama yamebandikwa? na hizo lips je? tunachoangalia ni structure ya uso,SHE IS CUTE na hata live mi mwenyewe nilishakutana nae kwa Jide kama mara tatu nimekaona kwa macho yangu, kana mvuto haka katoto acheni chuki ni kazuri.
    Fanyeni nyinyi hizo photoshop halafu tuone mnakuwaje.

    ReplyDelete
  13. Wajameni yawezekana huyu mdada ni mzuri wa muhonekano hata bila make up, me I dont care.Ila napenda kumuuliza yeye binafsi na wana glob wengine, Hizo nguo zake za kimino, tatoo zake kifuani(kwenye picha zabolg yake) zinaifundisha nini jamii yetu ya kibongo..???!!!.Zina elimisha nini jamii yetu..??.Kumbukeni moja ya dhumuni kubwa la media ni kuhelimisha na si kupotosha."Not all westernised cultures are profitable and useful to be assimilated onto our own culture"

    Thank you.

    ReplyDelete
  14. Heeey!Zamaradi uko pouwa sana,mi nakupa Big Up kwa uamuzi wako wa kufungua hii blog,tuko pamoja.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...